rais

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

    UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao. Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha. Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC apanga kuja Nairobi kutia saini mkataba wa EAC

    Kama hatua za mwisho za kurasimisha.... DR Congo President Félix Tshisekedi is scheduled to visit Kenya on Thursday where he is expected to sign the East African Community (EAC) treaty. Kenya is the current chair of the EAC and Tshisekedi is expected to sign the treaty before President Uhuru...
  3. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

    Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais. Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile...
  5. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Obama amtania Biden ni Vice President, Biden ashangazwa kuona watu wakijazana kwa Obama huku akibaki pekeyake

    Yani kilichotokea hapa ni kama vile ex wa mke wako anakuja nyumbani, anapewa attention kubwa kuzidi wewe, atachinjiwa kuku, watoto wanamwita baba, duuhh!! Dah hadi huruma, hapa Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama ana kundi la watu wamejazana kwake...Biden anamcheki Obama...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ikamilishwe

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

    Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk. Mapungufu ya msingi yapo...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haitajengwa na chama kimoja

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote. Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Rais anatambua bei za vitu zinapanda. Je, ataongeza mishahara?

    Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea. Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame ziarani nchini Zambia

    Hamjamboni nyote? Rais Kagame amefanya ziara nchini Zambia na kukaribishwa na mwenyeji wake Rais Hichilema Amezuru maeneo maarufu ya utalii nchini humo yaliyopo kwenye maporomoko ya Victoria
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amteua Dkt. Zuhura Mohamed Abdallah kuwa Kamishna wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini katika Tume ya Mipango

  15. O

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

    Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi. Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    “Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule. “Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ratiba ya Rais ndani ya nchi ni Ratiba ya wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama? Kwanini akiwa nje ya nchi yupo mwenyewe?

    Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa...
  18. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru atoa neno baada ya bodaboda kumbaka Bibi Mzungu

    Baada ya boda boda mmoja domo zege huko Kenya kufanya yake, rais Kenyatta amelazimika kutoa somo: "Kama uko na haja na mtoto omba pole pole." Amesikika Kenyatta. Kwa hakika rais huyu hajawahi kuishiwa masomo kwa hadhira zake. Ikumbukwe Dodoma hakutuacha bila bila na mambo ya azana. ========...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza: Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli. "Kwetu ni self service." Nani anasema tatizo letu si katiba? Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
Back
Top Bottom