rais

  1. JamiiForums Tanzania Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

    Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao. Tusilazimishe mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka: Nchi tatu zinajadili ili Samia awe Rais wao

    Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani! Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
  3. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  5. JamiiForums Tanzania Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

    Pitia hili japisho kwa utulivu kisha niambie kwa umri wako ni Rais yupi amefanya hata nusu ya haya,
  6. JamiiForums Tanzania Afrika yaunganisha nguvu kupambana na Ugaidi

    Na Mwandishi Wetu, Ethiopia Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili kupambana na changamoto ya ugaidi katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa nchini Ethiopia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi Muadilifu, Wanaomchukia ni amma watu 'madhalimu' au wenye 'Husuda'

    Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake. Aidha, kwa kadiri wengi wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia awa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
  9. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze. Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakati huu ambapo Rais Samia anayasaka maridhiano na CHADEMA, Mdee na wenzake imekula kwao

    Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa. Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya. Kwahiyo wale...
  11. JamiiForums Tanzania Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

    Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali More deep detail to follow with specific...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

    Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema. Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
  14. JamiiForums Tanzania Mawaziri wachapakazi hawakuondolewa sababu walikuwa wakimkwamisha Rais Samia

    Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025. Ndipo tukasikia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda

    Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  19. R

    JamiiForums Tanzania Tukifanya Haya Rais wetu Samia na Serikali yake Wataeleweka tu

    Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga tumeona ,Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

    Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana. Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri. Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts). Karibu Kama kweli una hoja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…