rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Kagame atuma Salamu za Rambirambi

    Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi. Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  4. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  5. JamiiForums Tanzania DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini lawama zangu zote kwa huu ukame mkubwa unaoenda kuikumba Tanzania nazipeleka kwa Rais na Makamu wake?

    Rais wa Tanzania Samia Laiti wewe na serikali yako mngetengeza urahisi wa upatikanaji wa nishati mbadala (hasa matumizi ya gesi) kwa kuifanya ipatikane kwa bei nafuu mno, sidhani kama 95% ya Watanzania wangeendelea kuharibu misitu ili wapate kuni/Mkaa wa kupikia. Hali ambayo imesababisha sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

    "....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi. Shaka ametoa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji ushauri kutoka Scotland Yard kuondoa na kuvunja vitengo vya mauaji katika jeshi letu la polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  11. JamiiForums Tanzania Lengo la rais wa yanga kuwaita mashabiki wa timu yake wala mihogo

    Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga. Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi walimtangulia walikuwa wakiheshimu mashabiki. Ni kweli mihogo ni chakula mambacho watu wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Wafahamu watoto wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Kuna maswali wengi hujiuliza kama watoto wa Putin Rais wa Urusi wapo kwenye social media, inasemekana wanaweza wawepo kwa kutumia majina yasio kuwa yakwao kwa ajili ya usalama na wanaweza wasiwepo kabisa. Maiaha yao ni ya kipekee kutokana na hali ya kisiasa na kinachoendelea, wote hao wakike...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

    Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

    Karibu kila Rais kuanzia Mzee Mwinyi aliljikuta akilazimika kuzoea kufanya kazi huku akiisikia sauti ya mtangulizi wake ikiongelea namna anavyoendesha nchi. Huu umekuwa ni mtihani mzito wa kuirithi ofisi nzito ya urais. Mzee Mwinyi anaikumbuka hotuba ya Mwalimu Nyerere mwezi March 1995 pale...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania msikilizeni Dkt. Wiliam Ruto Rais wa Kenya anayoyasema hapa

    Sikilizeni madini
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  18. JamiiForums Tanzania Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022 ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Putin: Wao wabaki na Ushoga wao, wasitulazimishe

    Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa. Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu wenye Uwezo wa akili wa Ziada, Mtu anaielezea Dunia mithili kama kaichora yeye mwenyewe. Wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

    Hali ya chakula ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje, chakula kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, Jakaya aliagiza mchele China na Japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! Bashe yuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…