rais

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa kwaajili ya maendeleo ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu jana katika uwekaji sahihi katika mradi wa SGR Rais Samia Suluhu alisema kuwa Pale tunapohisi pana faida tutaendelea kukopa. Kwa wanaosema awamu hii imekopa sana, waseme pia ndio awamu imejenga sana na kweli sisi ni mashahidi tumeona awamu hii imekopa sana lakini maendeleo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji afuta Bonus ya mshahara wa mwisho wa mwaka kwa wafanyakazi

    Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee. Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
  3. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Nikimwambia Rais jambo hapa atanisikia? Ni muhimu sana

    Ilikuwa kwenye video ikitembea. Ilikuwa kikao nadhani kilifanyika dodoma mwezi huu wa 12, 2022. 1. Walimu waajiliwe wale wenye ufaulu mkubwa tu. 2. Walimu walioko kazini wapewe mafunzo ya mara Kwa mara lakini pia watatazamwa competence Yao kazini.(aliyasema haya Mh mhagama kule manyara kama...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

    Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri, shupavu, imara, madhubuti, mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika...
  5. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

    "Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia. Tunachojua...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

    Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora - Kigoma) katika Ukumbi wa Kikwete Hall - Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Desemba, 2022. Utiaji saini huo utahusisha kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli na Kampuni za ubia wa CCECC na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia: Rais Samia anatekeleza ilani ya CCM kwa kasi

    Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa utekelezaji wa ilani kwa kuwa mwaka 2020 waliahidiwa moja ya utekelezaji katika sekta ya afya ni kituo...
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  10. badison

    JamiiForums Tanzania Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

    Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi. Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kuwa na maji ya Bomba, Rais Samia ametuletea

    Wakazi wa Kijiji cha Ilela, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe waliokuwa wanakabiliwa na kero ya maji safi na salama wameondokana na adha hiyo baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu kuwapelekea mradi wa maji ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa kampeni ya kumtua mwanamke ndoo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

    Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Liberia: Wafanya maandamano kumpinga Rais George Weah

    Zaidi ya watu mia moja wamefanya maandamano hayo katika Mji wa Monrovia, yakiratibiwa na muungano wa vyama vya upinzani wakilalamika kupanda kwa bei ya vitu na uhaba wa mahitaji ya msingi. Waandamanaji wanaamini uamuzi huo utatuma ujumbe katika jumuia za kimataifa kuwa wamechoshwa na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

    Kuna profesa mmoja (jina silikumbuki) ametoa ufafanuzi hivi karibuni kuwa mtu akipewa PhD ya heshima jina lake halipaswi kuanza na Dr. (Mfano Dr. Samia) badala yake liandikwe Samia (PhD hons). Hili linafanyika ili kuendelea kulinda heshima ya ngazi hii kubwa ya elimu. Sasa kwann wanaccm...
  16. YinYang

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua Uamuzi wa TRA Kuhusu Machinga Kutumia EFD

    Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuwataka kuanza kutumia mashine za kieletroniki (EFD) katika kufanya malipo. Sambamba na hilo wamemwomba...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Licha ya mambo mengine kuwa magumu kwako Rais Samia, basi tuondolee January Makamba tu!

    Staki nirudie mambo mengi tu ambayo kila leo yanasemwa na kuandikwa hapa jukwaani kuhusu ughali wa maisha n.k nadhani mh Rais ameamua kuyaacha ili kuandikwe historia nyingine mpya Katika nchi yetu, ambapo watanzania watakuwa kila wakikumbuka kuhusu hayo, basi linatajwa na jina la mh Rais wetu...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

    Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960. Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii? Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31. HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI? Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Chama cha Walimu Tanzania(CWT) atolewa kikaoni kwa nguvu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu Rais wa chama hicho, Dinah Mathaman na kumchagua mjumbe mwingine kuongoza kikao. --- Rais CWT atolewa kikaoni kwa nguvu Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu...
Back
Top Bottom