rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  2. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  3. JamiiForums Tanzania Jaribu la hayati Rais Magufuli na jaribu la Ayubu

    JARIBU LA HAYATI RAIS MAGUFULI NA JARIBU LA AYUBU. Leo 13:15hrs 04/02/2023 Jaribu la Hayati Rais John Pombe Magufuli linakuja kwenye kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na hoja,lakini jaribu hili linakuja akiwa hayupo,pengine angetamani awe hai ili aweze kujibu hoja...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Umetubadilishia Mkurugenzi wa EWURA, tubadilishie na wa TPDC na PURA

    Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi. Wakurugenzi wanakaa kwa muda mrefu sana, hapo inaweza kuwa ngumu kuona mabadiliko. Zoezi la...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi

    Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

    Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka historia nyingine katika uchumi

    Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki nchini. Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia anatakiwa kusaidiwa kwa kuambiwa ukweli na siyo kwa kuwa machawa

    Lissu ameyasema hayo alipoulizwa kwenye kipindi cha Clouds 360 anamuelezeaje Samia kama Rais, ambapo Lissu amesame Samia ana uelekeo mzuri ila anahitaji kusaidiwa. Namna ya kumsaidia ni kumwambia matatizo ya serikali yake na nchi yake, Rais anatakiwa kuambiwa ukweli, ila siyo kwa kuwa machawa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala Nani katika Hilo,hamuogopi mtu Wala haangalii sura katika hili, Hana uvumilivu Wala Subira katika...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  14. JamiiForums Tanzania Kuchelewa kutangazwa Cabinet inaonyesha udhaifu wa Rais

    Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati. Kwahiyo, in effect, cabinet isipotangazwa, you are bringing the country to a standstill. Inaonyesha indecision on the part of...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuwasaidie wananchi kupata haki zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika kuhakikisha wanapata haki zao kwa wakati ametoa wito wa mapitio ya sheria ili kupunguza michakato...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi nzuri na amezungukwa na watu wema. Orodha yao hii hapa

    Waswahili hawakukosea waliposema " nioneshe rafiki yako nikwambie tabia zako" Sote tunakubali mpaka sasa( hatujui hapo baadae) Mh Rais Samia( PhD honorius causas) Ni rais wa pekee sana. Ni wa pekee kwa sababu ndio Rais ambaye ameweza kwa uwazi kukemea mambo maovu yaliyokuwa yakitendeka hapo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni jasiri asiyeogopa kuusema ukweli na amedhamiria kutaka kuona Watanzania wanatendewa Haki katika uongozi wake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka. Ndio maana anasema ukweli bila uoga...
  18. JamiiForums Tanzania Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

    Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…