rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  3. JamiiForums Tanzania 'Balozi' ataka Rais Samia atengenezewe sanamu

    Muktasari: Balozi wa utalii ataka Rais Samia atengenezewe sanamu kama kumbukumbu ya kuwa Rais mwanamke wa kwanza na aliyejitoa kwa dhati kuipambania sekta hiyo kwa kushiriki kutangaza utalii wa nchi. Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii ikiendelea kuimarika na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa miradi hii ya kimkakati Wilaya ya Kahama

    Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuifanya Kahama kuwa kitovu cha biashara ukanda wa maziwa makuu, hii inadhihirishwa na miradi mikubwa ya kimkakati alioamua kuiwekeza Kahama. Nikel refinary, hii itajengwa eneo la Buzwagi itasaidia kuchenjua makinikia ya migodi mbalimbali kutoka ndani na nje...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

    Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake. Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya juu Kenya: Huwezi kumshitaki Rais aliyeko madarakani, ni kinyume cha Katiba

    Kwa kuwa jirani na Kenya na kushuhudia yanayotokea itakuwa ni vigumu sana porojo za katiba mpya kueleweka, kukubalika, na kushabikiwa na wananchi wenye akili timamu. ===== Chief Justice Martha Koome led six other judges of the Supreme Court in declaring that the President enjoys immunity...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana imani na Rais Samia

    Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf afariki akiwa Dubai, mwili wake kurejeshwa nyumbani

    Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mfumuko wa Bei upo, na hauvumiliki

    Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM. Nilidhani kwenye hotuba yake ataainisha mikakati ya serikali kudhibiti mfumuko na kuboresha ugumu wa maisha unaowakabili...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  14. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  15. JamiiForums Tanzania Jaribu la hayati Rais Magufuli na jaribu la Ayubu

    JARIBU LA HAYATI RAIS MAGUFULI NA JARIBU LA AYUBU. Leo 13:15hrs 04/02/2023 Jaribu la Hayati Rais John Pombe Magufuli linakuja kwenye kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na hoja,lakini jaribu hili linakuja akiwa hayupo,pengine angetamani awe hai ili aweze kujibu hoja...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Umetubadilishia Mkurugenzi wa EWURA, tubadilishie na wa TPDC na PURA

    Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi. Wakurugenzi wanakaa kwa muda mrefu sana, hapo inaweza kuwa ngumu kuona mabadiliko. Zoezi la...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi

    Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

    Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka historia nyingine katika uchumi

    Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki nchini. Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…