rais

  1. Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

    Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
  2. Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha Odinga

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga. Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
  3. W

    GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  4. GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii: 1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
  5. GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
  6. R

    Rais wa Madagascar avunja Bunge baada ya kukimbia nchi, Upinzani wadai si halali kisheria

    Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha mchakato wa kumng’oa madarakani kwa madai ya “kuacha wadhifa wake na kukimbia wajibu wake wa kazi”...
  7. Rais wa Indonesia anatarajiwa kuitembelea Israel Kesho!!!

    BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
  8. GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  9. W

    POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  10. Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  11. GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  12. R

    Maelfu wamuunga mkono mpinzani wa Rais Paul Biya wa Cameroon

    Maelfu ya watu wamekusanyika katika jiji la Maroua, kaskazini mwa Cameroon, kumuunga mkono mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary, siku chache kabla ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12, 2025 Hii inajiri wakati Rais Paul Biya , mwenye umri wa miaka 92, anatafuta kuendeleza utawala...
  13. MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  14. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
  15. R

    Madaktari waunga maandamano ya Gen Z Madagascar, Rais aitisha mazungumzo baada ya kupewa muda wa saa 48 na Waandamanaji kuitikisa nchi nzima

    Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
  16. Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  17. Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
  18. Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  19. I

    Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

    Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
  20. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…