rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kupeleka 1.2 Trilion kwa ajili ya kuibomoa na kuijenga Muhimbili ni kumuhujumu Rais Samia

    Nafasi ya kumshauri Rais, ni nafasi adhimu inayobeba dhima kubwa kwa Taifa. Wananchi wanayo matarajio kuwa wenzao waliopata fursa ya kuwa washauri wa Rais wao, wanafanya hivyo kwa weledi, uadilifu na uzalendo wakitanguliza maslahi ya Taifa Mbele. Siamini hata kidogo kwamba wizara ya afya ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bishop George John: Watumishi wanaoomba Rais afe watakufa wao, yeye atadunda

    Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Askofu George John: Wote mnaomlaani na kumtakia mabaya Rais Samia haiwezi kumpata

    Wakuu, Askofu kalambishwa asali :Alien: "Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais. Sasa kwa wale ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia wana matatizo ya akili

    Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia? Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli. LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
  6. JamiiForums Tanzania Japo Rais Wetu Sio Malaika, ni Binadamu, Anaruhusiwa Kukosea Vikosa Vidogovidogo vya Kuteleza Ulimi, Tusimfanyie Nongwa, Tumvumilie, ila Vinapozidi..!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kufuatia Ibara ya 46 ya katiba yetu kuwa na kipengele cha kinga yaq Rais wa Tanzania, hawezi kushitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, hivyo kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa nchi, anabadilika anakuwa ni malaika na hivyo hawezi...
  7. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

    Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla. Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema "Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  10. JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

    Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera awasili nchini kwa ziara ya kikazi kama Mjumbe wa Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
  13. JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimebadili mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia ulioanza kwa 4R?

    Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
  17. JamiiForums Tanzania Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

    Wanabodi, Information is power!, kitendo cha kumjua rais wa Tanzania wa mwaka 2030, kinakupa powers za kujua nchi inapoelekea, kwasababu unakuwa unajua tunakwenda kumpata rais wa namnagani. Hii ya kumjua rais ajae kabla ya mwaka wa uchaguzi, kuna watu wanaita ni unabii, hivyo sisi jf, tunao...
  18. JamiiForums Tanzania Paul Biya amteua mwanaye kuwa Makamu wa Rais

    Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi. Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba ili kurejesha nafasi ya Makamu wa Rais.Makamu wa Rais atachukua kiti cha Urais moja kwa moja ikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Trump amezidiwa, amekimbizwa hospitalini

    Wakuu nimekutana na hii video ikisambaa katika mitandao ya kijamii na kuelezwa kuw Rais Wa Marekani Donald Trump amezidiwa na amekimbizwa hospital
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…