Rais Samia Tafadhari tafakari haya.

Rais Samia Tafadhari tafakari haya.

mrxtz2026

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2026
Posts
262
Reaction score
301
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.

Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi

Mheshimiwa Rais hili linatishia uslama wa kidemokrasia wa taifa letu na kuchochea maswali ya kwanini viongozi wengi wanajiweka kando na uongozi wako.? Pia heshima ya taifa letu uthoofika kutokana na orodha hii kuongekeza katika muhula wako.

Orodha si mwamba wote walijihudhuru bali kuonyesha kwao tu wanaitaji kufanya hivyo udhoofisha usalama wa kidemokrasia wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom