rais

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe afika Kibiti kutoa pole, Rais Samia Suluhu Hassan kutuma misaada ya kibinadamu kusaaidia wahanga wa mafuriko

    Mbunge Twaha Mpembenwe Afika Kibiti Kutoa Pole, Rais Samia Suluhu Hassan Kutuma Misaada ya Kibinadamu Kusaaidia Wahanga wa Mafuriko Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Ally Mpembenwe amefanya ziara ya kuwatembelea wananchi wa Kata, Vijiji, vitongoji na mitaa katika Wilaya ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili. 📅 7 Aprili, 2024. 📍 Ikulu Zanzibar.
  5. JamiiForums Tanzania RC Amour: Rais Samia hahusiki na sadaka ya Tsh. 5000 Pemba, ni upotoshaji

    MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000. Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani kabisa na Rais Samia kama...
  6. JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Mrindoko: Zaidi ya Trilioni 1.2 Zatolewa Kubadilisha Katavi Miaka Mitatu ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya zote zilizopo ndani ya mkoa wa Katavi wameeleza mafanikio yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongoziwake ambayo yameleta matokeo chanya...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada alitaka kujichanganya kwa Vladimir Putin

    Justin Trudeau ambaye ni Waziri Mkuu wa Canada anaonekana akimpiga au kumgusa gusa Rais wa Russia kifuani jambo lililopelekea Bodyguard au mlinzi wa Vladimir Putin kusogea Karibu kuchunguza hilo tukio na kutaka kuchukua hatua za kiulinzi dhidi ya waziri mkuu wa Canada, ila kwa ishara ya siri ya...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka Mitatu ya Rais Samia Sekta ya Ujenzi

    MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI. Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwezi Machi, 2021. Hayo yamesemwa Aprili 5, 2024...
  9. JamiiForums Tanzania Viwanja vya Ndege Vitano Vimekamilika, Miaka Mitatu ya Rais Samia

    VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea. Waziri Bashungwa...
  10. JamiiForums Tanzania Madaraja 8 Makubwa Yamekamilika, Miaka Mitatu ya Rais Samia

    MADARAJA 8 MAKUBWA YAMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Ujenzi imefanikisha ujenzi wa madaraja makubwa 8 yakiwemo Daraja la Wami mkoani Pwani, Daraja la...
  11. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma. "Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Faye: Ni wakati sasa Ufaransa kuondoka na kuachana na Afrika

    Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ili kudhibiti rushwa barabarani, trafiki waondoke barabarani, kamera na taa ndio zifanye kazi

    Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari. --- Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uandaliwe mpango kabambe wa kusambaza filamu za utalii zinazofanywa na Rais Samia kote duniani

    Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi mei, 2024 na mafanikio ya filamu ya The Royal Tour. Kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona unateuliwa na Rais au Chama halafu Unahamishwa hamishwa jua una sifa hizi

    1. Huna Uwezo wa Kiutendaji 2. Huna Akili 3. Utakuwa unabebwa mno 4. Una God Fathers wanakulinda 5. Mshirikina, Muongo na Mbea 6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa 7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku...
  20. JamiiForums Tanzania Ludewa Press Conference - Miaka Mitatu ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan- Wilayani Ludewa. Mheshimiwa Rais ameendelea kuonekana katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…