rais

  1. R

    Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena. Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri akituhumiwa kunyanyasa mwajiriwa lakini hakuna chombo kinachochunguza na hata wanaotaka kuchukua hatua...
  2. Martha Mariki akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
  3. Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  4. Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  5. S

    Rais Samia naomba ukemee ubaguzi kwenye sherehe za Mei Mosi

    Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
  6. M

    Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  7. Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024 Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais...
  8. Diamond umemsifia Rais Samia kwa Mafanikio yaliyotoka kwa Magufuli

    Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
  9. T

    Kauli za fedha imetolewa na Serikali na Rais tunazisikia je miradi inatekelezwa

    Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi. Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri...
  10. L

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi ya Siku Tano Nchini Uturuki kuanzia Tarehe 17-21 Mwezi huu

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mualiko maalum wa Rais wa nchi hiyo Mheshimiwa Erdogan. Hii imeelezwa na waziri wa mambo ya nje na...
  11. Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
  12. F

    Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  13. Balozi Nchimbi: Kikokotoo ni kero kubwa, nitamfikishia taarifa Rais Samia

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu. Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili...
  14. Rais Samia Anaendelea Kuwezesha Fedha za Dharura Kukarabati Barabara Zilizoharibiwa

    RAIS SAMIA ANAENDELEA KUWEZESHA FEDHA ZA DHARURA KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura ili kusaidia kufanya...
  15. Rais wetu, fahari yetu, kazi iendelee

    Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan. Ni mwenye kusikia kama Jina lake linavyosadifu, amesikia kero za wananchi wake na amezitatua kwa kiwango kikubwa na bado anaendelelea amehakikisha kero za Elimu, afya na Lishe, maji, miundo mbinu, biashara na viwanda, Utunzajiwa...
  16. Norah Mzeru: Rais Samia ametuheshimisha wanawake, Serikali na CCM katika kipindi cha miaka mitatu aliyokaa madarakani

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Asifu Utendaji Kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kuheshimisha Wanawake, Serikali na CCM Katika Kipindi cha Miaka Mitatu Aliyokaa Madarakani. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema kuwa Rais...
  17. K

    Matarajio ya Rais Samia kwenye Utalii ni makubwa, tumsaidie ku-brand utalii kama bidhaa

    Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii. Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini...
  18. Taifa lolote duniani lenye Rais anayeogopa kujipambania lina hasara kubwa

    Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno. Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC...
  19. P

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Taifa: Uhuru wa kuzungumza lolote haukuwepo kabla ya Rais Samia

    “Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na kwa sasa kwa sababu ya uongozi tulionao na kama kawaida ya nchi yoyote, nchi yetu inaongozwa pia na...
  20. B

    Rais fanya haya kuleta heshima hapo Serikalini

    Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda. Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…