rais

  1. Yoda

    Kwanini ni nadra sana kusikia tuhuma za rushwa kwa Rais au waziri Marekani?

    Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa...
  2. jmushi1

    Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

    Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
  3. GENTAMYCINE

    Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
  4. TODAYS

    Jirani, Wananchi Hawaelewi Kilichopo Kichwani Kwa Rais Wao ni nini!

  5. L

    Marekani yammiminia Sifa na pongezi Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo amayaleta katika Secta na maeneo mbalimbali,ambapo yameleta nuru na mwanga katika Taifa letu...
  6. KakaKiiza

    Katika majumuisho ya Habari Mh, Rais Samia amtaja Max na Jamii Forum

    Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini...
  7. Analogia Malenga

    Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  8. Komeo Lachuma

    Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

    Namwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
  9. U

    Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  10. L

    Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  11. Allen Kilewella

    Usipokuwa Rais huwezi kuwa Mwenyekiti wa CCM!!??

    Historia inaonesha kuwa hakuna Mwenyekiti wa CCM aliyedumu kwenye nafasi hiyo akiwa nje ya Urais. Mwalimu alipotoka madarakani harakaharaka akamuachia Ally Hassan Mwinyi uenyekiti wa CCM akiwa Rais. Mwinyi naye alipotoka kwenye Urais akamwachia Benjamin William Mkapa uenyekiti wa CCM ambaye...
  12. Pfizer

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  14. Kabende Msakila

    Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

    * RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia, * Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka, * Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari; * Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk...
  15. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aipa TANROADs Bilioni 431.4 Kutekeleza Miradi ya Ujenzi wa Miundombinu Mikoani Kagera

    RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA Na Mathias Canal, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni...
  16. Gemini AI

    Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

    A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
  17. Mturutumbi255

    Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  18. R

    Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  19. L

    PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  20. BOB LUSE

    Ufanisi wa Rais ni watu waliomzunguka!

    Moja ya Eneo Muhimu la watu katika uongozi ni Wale unao onana nao Kila siku (Wanaokuzunguka) kama ni Machawa utafanya vituko vingi. Rais anapaswa kuzungukwa na vichwa vyenye Hekima ndio wa kumshauri sio Vijana ambao hawajawa tested na matukio, angalia waliofanya kazi na Nyerere/ Mkapa n.k...
Back
Top Bottom