rais

  1. Kamanda Asiyechoka

    PreGE2025 Upuuzi mkubwa: Inakuwaje Rais asiyekubalika anashinda uchaguzi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

    Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji.. Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
  2. L

    Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
  3. Suley2019

    KWELI Lissu amesema Abdul Halima Ameir (mtoto wa Rais Samia) aliwahi kutaka kumpa rushwa

    Salaam Wakuu, Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza. Je, kauli hii ni kweli? Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika --- Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
  4. chiembe

    Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  5. vnn

    Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  6. BARD AI

    Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  7. Stroke

    Badala ya kutapanya mali kwa wageni kwanini Rais asijikite kwenye kuwajengea wananchi wake uwezo?

    Kila safari atayofanya Rais , lazima itaambatana na kisainiwa kwa mikataba ya kiuwekezaji kwenye Rasilimali zetu. Dunia ya sasa idadi ya watu inaongezeka na hii inafanya rasilimali kuwa adimu. Kwa kulitambua hili mataifa makubwa yamekuwa na sera kandamizi na kutumia mbinu za kila aina...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  9. MK254

    Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  10. Komeo Lachuma

    Maafisa Ubashiri tunaomba pia Rais ukienda Uingereza usitusahau

    Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda. Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
  11. Mhafidhina07

    Ikiwa tunashindwa kujitosheleza kwa rasilimali zetu kama taifa basi, haina haja ya CCM Kubaki katika kuongoza taifa hili

    Mr Nice Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi akachimbachimba akapata almasi hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2 akatupa jembe lile akaenda mjini kanunua moto car,sasa ni gariii. Naam, Muheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano, nakusalimu kwa salamu yako ukweli nimeona jitihada zako baada...
  12. D

    Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
  13. Mystery

    Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  14. D

    Hongera Rais Samia kuipaisha nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Kiuchumi; Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
  15. N

    DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

    Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
  16. M

    Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
  17. Nyani Ngabu

    Rais Ruto na makamu wake washaanza kutofautiana!

    Well…well…well! It’s deja vu all over again 🤣. This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point]. Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu. Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe. Wapambe wao nao vivyo...
  18. Mwande na Mndewa

    Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kama Hayati Rais John Pombe Magufuli kama Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine.

    Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
  19. L

    Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
  20. G

    Governor wa Kenya ana nguvu kuzidi Rais?

    Kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful? Mfano kinachoendelea sasa Governor wa Mombasa kapiga marufuku miraa lakini Rais Ruto karuhusu
Back
Top Bottom