rais

  1. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

    Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa? Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesi ya Sukari Mahakama Kuu yamzuia Bashe kwenda China ziara ya Rais

    KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kashfa ya utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa nafasi ya kuongoza Taifa ningewaomba Wachina ushauri wa Uchumi, Elimu, na Teknolojia

    Kama mimi ningekuwa katika nafasi hiyo ya kuongoza taifa. Kitu pekee namba moja ningewaomba wachina katika ziara yangu mimi na jopo langu basi si kingine zaidi ya washauri wa masuala ya uchumi, elimu na teknolojia. Ningepambana mimi na jopo langu jinsi tuwezavyo serikali ya China itupatie...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkinafaso hatoshiriki tena mikutano ya mataifa makubwa isiyo na maslahi Kwa nchi yake

    Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake, Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe, Lazima tulinde na kutumia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024. Pia soma: Je, ni kwa jinsi...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais tumtakaye 2025 kwenye sekta ya kilimo afanye yafuatayo

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan, ahimiza kudumisha Umoja

    https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya katiba mpya ya kupunguza mamulaka kwa rais

    Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo: 1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame afukuza wanajeshi 200 pamoja na meja Jenerali Martin Nzaramba

    Rais wa Rwanda Pul Kagame amewafukuza kazi wanajeshi kwa kutia saini miongoni mwao akiwemo Meja Jenerali Martin Nzaramba, Kanali DKT Atienne Uwimana na maafisa wengine 19 ambao hawakutajwa majina yao kwasababu ambazo hazijawekwa wazi . Hatua hiyo imechukuliwa na Rais Kagame baada ya alhamis ya...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwenye kujawa na ustahimilivu

    Wakati wote Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimama imara katika falsafa yake ya uongozi ya 4R kwa kuitekeleza kwa vitendo. Ameendelea kuwa mwenye ustahimilivu hata pale anapotolewa maneno machafu dhidi yake, amekuwa akitumia hekima na busara ...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katambi ampongeza rais samia kutoa fedha za kuwezesha usimikaji wa mfumo cma

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amempongeza Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya kuwezesha usimikaji wa Mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa mashauri kwa njia ya mtandao. Mhe...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  16. nyachina

    JamiiForums Tanzania RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

    Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000. Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Madhaifu yake, Rais Samia kakomaa Kidoplomasia ya Kinataifa kuliko Magufuli.

    Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger. Ushindi wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha kwa kishindoo Arusha Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni hypothetical scenario, lakini kwa KATIBA hii rais anaweza kufanya na ikawa imekwisha!

    Kwa katiba yetu ilivyo, Rais anaweza kusema kuwa kuanzia leo Tanga, Dar, Pwani ni sehemu ya Zanzibar kama alivyoamua kuwa ngorngoro ni sehemu ya wazi! TUPAMBANIE KATIBA MPYA
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
Back
Top Bottom