rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

    Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro. Walimaanisha kwamba Wamasai hawawezi kuzungumza na mtu mwingine zaidi ya Rais, lakini leo...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana. Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Zile barabara 8 zilizosainiwa tarehe 16.06.2023 kwa mbwembwe ziko wapi?

    Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa. Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani. Tunaona Rais yuko bize na Kizimkazi, ni Rais yupi anafuatilia utekelezaji wa ujenzi wa ile mikataba...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, Vita ni kubwa, vijicho ni vingi, kaza moyo twende mbele!

    Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kila mzigo anapewa Rais?

    Hivi Watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia mtu anamlilia Rais. Mtu akitembea na mke wa mtu akikamatwa utasikia Mama yetu tusaidie haki itendeke😆 Mtu akinyimwa kitu utasikia anamlilia Rais...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Rais Samia mnaopotea endeleeni kupotea kwa sababu ni drama

    Andamaneni, fanyeni mnavyoweza na ENDELEENI KUPOTEA SANA. Kwa mujibu wa Rais Samia HIZO ZOTE NI DRAMA TU.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusione Aibu kuiga hili Jema kutoka kwa Rais Kagame na Rwanda yake

    Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia aseme yeye ni ‘Chura Kiziwi’ alimpotosha

    Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’. Kwa kutokukemea kwake na kutochukua hatua inaonekana yote yanayotendeka yana baraka zake. Kuwa, yeye ndiye...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

    "Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

    Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli. Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Rais, hata kama unampenda lakini Masauni si Mtu sahihi Kwa nafasi ya Waziri wa Mambo ya ndani.

    Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

    Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025 Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu. Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro...
  15. hitler2006

    JamiiForums Tanzania Iwapo hela za kufanya kila kitu kwenye nchi anatoa Rais, Kodi zetu zinaenda wapi?

    Nimekua nikijiuliza sana kila naposikia kauli za watendaji na viongozi wetu. Utasikia mama katuletea hela kwaajili ya mradi huu. Nabaki na maswali nijuavyo Serikali hujiendesha kwa kodi za wananchi, grants lakini pia magawio kutoka mashirika yake lakini pia mikopo ambayo hulipwa badaye na...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  17. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zimzuie Rais Samia: Nchi yetu inaelekea wapi?

    Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu. Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake...
  19. Rightman

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi chana awasili ofisini, awataka watumishi kutekeleza 4R za rais samia kwa vitendo

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
Back
Top Bottom