Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Wakati wote Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimama imara katika falsafa yake ya uongozi ya 4R kwa kuitekeleza kwa vitendo.
Ameendelea kuwa mwenye ustahimilivu hata pale anapotolewa maneno machafu dhidi yake, amekuwa akitumia hekima na busara , mwenye kuyasikiliza, kuyapuuzia na kuendelea kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania kwa ujumla.
#SamiaApp