rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia hii miradi imekukosea nini?

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania. Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi. Rais Samia amegoma...
  4. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ninamshukuru Rais Samia kuniteua kuwa Mshauri wake wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto

    Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia; Alichokiandika katika akaunti yake ya X Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu. Kwa shukrani za dhati, heshima, na unyenyekevu mkubwa, ninamshukuru kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu, Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi . Kwa zaidi ya miezi mitatu, hakuna umeme wa uhakika

    Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka husika kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Wananchi wamevumilia kwa muda mrefu sana. Kwa zaidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Compare & Contrast Marais 6 wa Tanzania on Democracy, Jakaya is The Best!, Apewe Maua Yake!, Samia Pia Ana Fursa To Be The Best!, Je Atakuwa?

    Wanabodi Nilikuwa nasikiliza kitu kumhusu Nicolo Machivaeli kwenye kitabu cha The Prince, audio books imefanya reading books made easy, usingizi ukikata unakamata simu yako na kujikeep busy. Nikajikuta nawatafakari marais wetu wote 6 wa Tanzania kwa kuwa compare na kuwa contrast on subject...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa pekee ambalo wananchi wake hawana raha kwa rais wao kuwa madarakani ni Tanzania

    Hili halipingiki kabisa maana Watanzania wengi hawafurahi kwa Kwa rais Samia kuwa madarakani. Wanasema yupo kwa sababu ya kiongozi mstaafu yaani Jakaya Kikwete. Alafu hakubaliki na kila analolifanya linaonekana ni jambo baya. Anaonekana yupo tu kwa ajili ya tumbo lake, familia ya mstaafu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania BoT yamtunuku Rais Samia Tuzo ya Kinara wa Mapinduzi ya Mifumo na Huduma Jumuishi za Kifedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa mabadiliko ya kiuchumi na mifumo ya kifedha nchini. Tukio hilo limejiri leo Juni 12, 2026, katika Kituo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Akiba yetu ya dhahabu ni tani 27.5 yenye thamani ya Trilioni 10. Hapa tulipofika si haba

    Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. "Nipongeze Benki Kuu kwa mpango wa ununuzi wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo itumike kumrahisishia Mwananchi kuelewa na kutimiza wajibu wake wa kuchangia Pato la Taifa

    Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Ametoa wito kwa taasisi za kifedha na mamlaka za kodi nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania, JNICC, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Public Relations Advice: Rais Samia alipaswa kuiambia dunia maneno haya kuhusiana na World Cup 2026

    It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana) Habari za wakati huu, Ndugu zangu. Bila shaka wote mpo wazima kabisa wa afya na poleni sana kwa shughuli za ujenzi wa taifa. Katika kipindi hiki ambacho Tanzania bado inapona makovu ya vurugu pamoja na mauaji ya October/November 2025 na sasa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ummy Mwalimu Na Rais Samia Ikulu Wakiangalia na kufuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu Ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia. Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Marais Madarakani wenye PhD nyingi za Heshima Duniani, wote Madikteta. Huwa wanalazimisha kutunukiwa?

    Kama kawaida mama yetu kipenzi, anayeupiga mwingi ndio anaongoza kwenye hii list wakati wenzetu wanaongoza kwenye mambo ya Teknolojia, Uchumi, Silaha na mengine mengi yeye anaongoza kwenye PhD za Heshima! Ila kwa jinsi uongozi wao ulivyo kwa wote kwenye list, PhD zitakuwa zinatolewa ili kupata...
  15. JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Badala ya watendaji wa Serikali kufanya kazi yao, wanataja tu jina la Rais Samia (KUMBUKIZI)

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, Oscar Oscar, aliwahi kusema Machi 14, 2024 kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali badala ya kutekeleza majukumu yao ipasavyo, wamekuwa wakitumia muda mwingi kulitaja jina la Rais Samia Suluhu Hassan kuliko kufanya kazi zinazowahusu. "Badala ya...
  16. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia, tupo kwenye janga la kinyang’anywa kila tulichonacho. Je, kivipi ndio suluhu yetu

    Mheshimiwa Rais, Kwa heshima kubwa tunakuandikia barua hii kuomba msaada wako katika kutatua mgogoro unaotukabili sisi wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika leseni za NICO RAYMOND NYEMELE (PML 1794/1795 GTA) na MHELLA NATHANIEL (PML 1797 GTA) zilizopo Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Muda Mfupi Kabla Ya Kupokea Ugeni Kutoka Kwa Rais wa Singapore

    Ndugu zangu Watanzania, Kiufupi Ni Kuwa Rais Samia Anakesha anafanya kazi , anashinda kutwa nzima anafanya kazi, anasafiri na kufanya kazi hadi akiwa angani ndani ya ndege . Rais Samia anafanya kazi akiwa ndani ya Nchi na hata nje ya Nchi. Muda na wakati wote Rais Samia yupo kazini...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waandishi wa Habari wa Urusi walinisalimia “Mama Samia Shikamoo”, jambo linaloonesha kuenea kwa Kiswahili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa lugha ya kiswahili imekuwa sana kwani hata alipokuwa nchini Urusi waandishi wa habari wa nchi hiyo walikuwa wakimsalimia kwa kiswahili. Soma Pia: Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin Rais Samia akiwasili nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia na dhana ya "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

    Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo. Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…