rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Urithi wa Migawanyiko: Nchi inavyozidi kutengana

    "Mama Samia na Urithi wa Migawanyiko: Nchi Inavyozidi Kutengana" Tangu Mama Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, taifa limeingia kwenye sura mpya yenye mchanganyiko wa matumaini na mshangao. Lakini sasa, tunapoangalia uhalisia wa mambo, tunagundua kwamba nyuma ya tabasamu la...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Kimasai Wamuunga Mkono Rais Samia kuendelea kuongoza miaka mitano ijayo

    Viongozi wa jamii ya kimasai nchini (Malaigwanani) wametoa msimamo wao wa kumchagua tena rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuendelea kuongoza nchi kwa miaka mitano ijayo kutokana na utendaji kazi wake. Akizungumza baada ya kikao kilichowakutanisha viongozi hao kutoka Siha na Longido, mwenyekiti wa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zaidi ya wanachama 3000 wa CCM Kilimanjaro wajitokeza kumdhamini Rais Samia

    Zaidi ya Wanachama 3000 wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wamejitokeza leo agosti 13 2025 kumdhamini mgombea Urais wa chama Dkt.Samia Suluhu Hasan ambae pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tukio hilo limefanyika katika ofisi za mkoa CCM Kilimanjaro...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalam ya Maji (Presidential Water Changemakers Award 2025)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Maji (Presidential Global Water Changemakers Awards 2025) iliyotolewa na Global Water Partnerships kwa kushirikiana na Umoja wa Afrika. Tuzo hiyo imetolewa na Mheshimiwa Rais Duma Boko...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Anamringi: Mkoa wa Simiyu umetoa TZS2bn kwa vijana, TZS2bn kwa wanawake na TZS1bn kwa walemavu kwaajili ya 10% chini ya Rais Samia

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi trilioni 3.5 mwaka 2024, huku mapato ya ndani ya Halmashauri yakipanda kutoka shilingi bilioni 14.23 mwaka 2021|2022 hadi bilioni 18.32 mwaka...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apeleka Bilioni 300 Tume ya umwagiliaji

    Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mwaka wa fedha 2025|2026, Tume ya Umwagiliaji iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 382,138,408,000. Fedha hizi zimetengwa kama ifuatavyo: Shilingi 308,721,961,000 ni fedha za Maendeleo, huku Shilingi 73,416,447,000 zikielekezwa kwa matumizi ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Fedha hizi za harambee zitatumika vema katika kampeni kama ilivyokusudiwa

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza uandaaji wa hafla nzima ya uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni ya CCM. Pia, ametoa pongezi kwa wasanii, watu mashughuli na watu wote kwa ujumla kwa makundi tofauti tofauti walioshiriki...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Azim Dewji: Rais Samia wasikusumbue wakina mbiombio hawa jambo isipokuwa ni wivu tu

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji katika harambe ya kuchangia kampeni za CCM ambayo inakwenda kwajina la CCM gala diner amesema Rais Samia asisumbuliwe na kinambimbio ambapo hawana jambo bali wivu tu. Rais Samia usisumbuliwe na wakina mbiombio hawana jambo bali ni witu tu...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia achangia milioni 100 CCM gala dinner 2025

    Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  11. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

    https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Viongozi wa TUCTA, Ikulu ya Dar, Agosti 12, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025. Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Dkt. Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta). Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Simiyu umefikia shiling trilioni 3.5 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%. Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama w CCM Tabora wajitokeza kumdhamini rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi: Tutahamasishana kumchagua rais Samia

    Wananchi huko mtaani wanapeana nondo za kwenda kumchagua Rais Samia itakapofika Oktoba 29, hamasa kwa kila mwananchi si kwa ajili ya Uchaguzi tena bali ni kwa ajili Rais Samia yumo kwenye sanduku la kura......watamchagua yeye.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpatieni Mama Samia watu wenye akili, maarifa, uchapakazi na uchungu wa wananchi,

    Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana. Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Mwakajumba na moyo wa shukrani kwa rais Samia na wajumbe wa CCM Kyela

    BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari. Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya. Mwakajumba ni mmoja wa...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo muhimu ya kumdai Rais Samia kwa mwaka 2025-2030

    Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29. Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030. Ni wazi na bila shaka watanzania...
Back
Top Bottom