rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Evans Mtambi: Chini ya Rais Samia Hati Miliki mpya 4,400, Hati za Kimila 7,400 zilitolewa na migogoro 840 ilitatuliwa kwa haki na uwazi

    == Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025. Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, shupaza Shingo kabisa, Huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu

    Tangu alipochukua uongozi wa nchi baada ya mtangulizi wake kufariki, Rais Samia amekumbana na upinzani mwingi kutoka ndani na nje ya Chama chake. Ndani ya Chama chake wapo ambao hawakutaka Samia aapishwe kuwa Rais kama Katiba inavyosema kwani yeye ndiye alikuwa Makamu wa Rais. Hawa walikuwa na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema 'kama uchaguzi wa Oktoba 29 haukuhusu ni bora ukabaki zako nyumbani'

  6. J

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula. Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania TISS na wasaidizi wengine wa Rais Samia, chukueni hili

    Rais anao wasaidizi waliosomea fani za Idara au Kitengo husika. Katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu japo Kampeni hazijaanza rasmi kwa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lakini ukweli ni kwamba tupo busy na Kampeni. Ukizunguka huku na kule utaona mapikipiki, khanga, baiskeli nk. Hivi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi pelekeni watoto shule wasome

    Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania WanaSongwe watembea na kusafiri kumdhamini Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe. Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii ndio maana halisi ya mfariji wa Taifa. Rais Samia Abarikiwe sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika kuna kusudi maalumu la Mungu kumuinua Rais Samia na kumketisha kitini. Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kumpa kibali Rais wetu kuwa Rais wa Taifa letu. Ni Chaguo la Mungu Mwenyewe kwa Rais Samia kuwa Mtumishi wetu Watanzania. Nimeshuhudia mara nyingi sana kwa...
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Msibani kwa Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge

    "Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia. Rais wa Jamhuri ya...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Raisi Samia na Dr Nchimbi ni wagombea wa CCM ambao hawajawahi chukua fomu za kugombea urais za chama

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu. Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema...
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais - Serikali yako ilitenda wema kwa Lema, ikatenda kwa Mbowe kisha ikatenda kwa Ole Sabaya - fanye hivyo kwa Lissu

    Rais wetu mpendwa! Salaam! 1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi; 2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alipatia Tabasamu Taifa. Lalipuka Kwa shangwe , nderemo na vifijo mitaani kote. Watu Wajikuta wakibubujikwa na Machozi ya Furaha

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia anapendwa ,kukubalika na kuungwa mkono kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia amefanikiwa kuiteka mioyo ya watanzania,kwa hakika Mama yetu Mpendwa amefanikiwa kuandikwa kwa wino wa Dhahabu na upendo mioyoni mwa watanzania. Kwa hakika Rais Samia ni...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

    Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari. Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika picha Tatu, uchukuaji Fomu ya Urais Uchaguzi 2015, 2020 na 2025

    Jumamosi Agosti 9, 2025, Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu amechukua fomu Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Urais wa Tanzania akiwa na mgombea mwenza, Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi; hii ni mara ya tatu kwake kufika chombo hicho cha juu cha uchaguzi, safari hii ikiwa kubwa zaidi kuliko...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

    Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi. Rais ajaye katulia tu.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Back
Top Bottom