rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025 https://www.youtube.com/live/ARMJblFM7kg?si=RP84lkaqiIDNLqgC Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Rais Samia amependekeza Comoro wafundishe lugha ya kiswahili nchini mwao na Tanzania ipo tayari kuwasaidia...
  2. figganigga

    Rais Samia hapewi taarifa za Mpakani Kasumulu? Wiki sasa yupo kimya na anatabasamu

    𝖧𝖠𝖡𝖠𝖱𝖨 𝖬paka wa Kasumulu, pole kwa ukimya wa mda mrefu kufuatia taarifa ya ujumbe wa sauti kutoka kwa Mwenyekiti wa Madereva Nchini Malawi. Iliotumwa na Mjumbe mwenzetu "Ndugu Amani Jackson Mwangwasi. Sisi kama viongozi tumefanya jitihada za kuwatafta uongozi wa Madereva, Tumefanikiwa kumpata...
  3. L

    PICHA: Shule hii iliyojengwa na Rais Samia yawakosha wazungu na kugusa hisia zao. Watamani angezaliwa kwao na kuwa Rais wao

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia aendelea kuchanja mbuga kwenye mioyo ya watu. Sasa amevuka mipaka na kuanza kuteka hata mioyo ya wageni Kama ilivyokuwa kwa Barack Obama aliyependwa na kukubalika hata nje ya Marekani yenyewe. Rais Samia ameanza kuwa na anga lake na Dunia yake ya upendo na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Nabii Geordavie: Tukapige kura mwezi Oktoba, na tumuombe rais Samia

    Nabii Mkuu wa Makanisa ya Ngurumo ya Upako (N.Y.U), Dkt. Moses Kasambale Geordavie, ametoa wito kwa Watanzania kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa kuwachagua viongozi wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais. Dkt. Geordavie...
  5. J

    Mzee Kikwete: Wakati Rais Samia anastaafu 2030 Tanzania itakuwa na Watu taktiban million 70 hivyo viongozi wa Dini msiache kumuombea apate wepesi!

    Mzee Kikwete amesema kuongoza Watu million 61 ni kazi Ngumu sana yeye amewahi kuwa Kiongozi hivyo anajua Wakati anastaafu Urais wake 2030 Rais Samia ataliacha taifa lenye Watu takribani million 70 hivyo ni vema viongozi wa Dini wakazidi kumuombea Source ITV
  6. DuaZaMama

    Rais Samia: Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa utulivu na amani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza amani ya nchi. Amesema jana akiwa na wasaidizi wake waliona taarifa mtandaoni ikionyesha kuwa...
  7. J

    Rais Samia: Sitarajii hema hili litakwenda kudanganya watu ila litakwenda kukaribisha Wakristo wapate Neno la Mungu

    Akizungumza leo kwenye uzinduzi wa hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hategemei kuona hema hilo linatumika kudanganya watu na badala yake anatamani kuona hema hilo linatumika kuhubiri Injili "Sitarajii hema hili alisema vizuri mwanangu Tony kwamba...
  8. Just Pray

    Rais Samia: Usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu

    "Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa...
  9. Waufukweni

    VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

    Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
  10. Waufukweni

    Sheikh Mawinda: Kazi ya Rais Samia ni kubwa, jukumu letu ni kumuombea, sio kumzodoa na kumpinga

    Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa" "Urais kazi ndugu...
  11. J

    Rais Samia aokoa TZS 100bn kila mwezi Bandari ya Dar es Salaam pesa inayoweza kujenga madarasa mapya 5,000 kila mwezi

    Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumla ya madarasa 5,000 kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha. Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn Kabla Rais Samia hajafanya Mapinduzi makubwa ya kuiweka Bandari ya DAR chini ya Ubia-PPP, Gharama za kuendesha...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

    Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6 Uzinduzi wa kanisa hili umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kanisa, misikiti na serikali walihudhuria, watu...
  13. E

    Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

    1.Kifo ni kifo tu. 2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse. 3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe. 4.Utekaji ni drama za wapinzani. 5.Katiba ni kijitabu tu. 6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe. Ongezea kauli za Rais Samia...
  14. L

    Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Aongeza Fedha za miradi ya maendeleo kutoka Trilioni 5.91 Mwaka 2015 Hadi Kufikia Trilioni 15.4 Mwaka 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiona vyaelea Ujue Vimeundwa ,ukiona miradi ya maendeleo inachipua na kumalizika kwa uharaka ,ufanisi na kwa kupendeza ujue juu yake kuna mikono ya Rais Samia ,ukiona Bwawa la Mwalimu Nyerere lililoachwa likiwa 34% limekamilika kwa uharaka na kwa ubora wa 100% ujue ya...
  15. Mindyou

    GE2025 Askofu Fredrick Shoo: Mchango wa Rais Samia kwa Kanisa sio hongo. Niendelee kumsihi Rais Samia asirudishwe nyuma

    Wakuu, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo nchini Tanzania CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini. "Niendelee kumsihi Rais...
  16. L

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amuwakilisha Rais Samia katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfumo wa Fidia kwa wafanyakazi

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza Muda wake Amemuwailisha Rais Samia kama Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka Kumi ya Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius...
  17. Robot la Matope

    Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

    Hii ni hatari saana.
  18. L

    Rais Samia afanya Miujiza . Kupitia PPP ya David Kafulila amepunguza muda wa meli kutia Nanga Bandarini kutoka Siku 46 Hadi Siku 7 Tu. Ni tabasamu tu

    Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia kuifungua Nchi kwa manufaa ndio huku sasa. Ukisikia kuinua uchumi ndio huku sasa,ukisikia kuvutia wafanyabiashara ndio huku sasa,ukisikia kuvuta fursa ndio huku sasa, ukisikia akili kubwa na maono makubwa ndio huku sasa,ukisikia Rais mwenye upeo na chaguo la...
  19. Waufukweni

    Dkt. Biteko: Rais Samia anachukizwa Haki za Kidini zikipuuzwa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa. "Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na...
  20. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia aagiza wagombea kutendewa haki

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea. Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025...
Back
Top Bottom