rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msama: Waliomchafua Ridhiwani kipindi cha Kikwete leo wanamchafua Abdul mtoto rais Samia

    Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la kuvuruga amani ya nchi.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Njau: Rais Samia alitabiriwa kwenye Biblia

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro aliyemaliza muda wake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Njau, amefika katika Jimbo la Hai na kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo lililopo mkoani Kilimanjaro, akiwaomba kura za mgombea urais, ubunge na madiwani wa CCM. Njau ametumia...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombe ubunge Chama cha Wakulima AAFP aahidi kujenga flyover Tabora Mjini

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Habiba Bunduki, amezindua kampeni zake akiahidi kuboresha maisha ya wananchi kwa kujenga barabara za juu (flyover) katika barabara za Tabora Mjini pamoja na kubadilisha mazingira ya elimu ili kuhakikisha wanafunzi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanamiminika na kufurika kwenye mikutano ya Rais Samia Kama Wanafunzi Waliokuwa wakimfuata Yesu Kila aendako na kufika

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli Rais Samia anakubalika na kupendwa sana kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu na wagombea wote wa Urais kuwahi kupeperusha Bendera za vyama vyao. Ni Mgombea ambaye ameweka rekodi ya mahudhurio. Hakuna Mgombea Urais amewahi kukusanya Maelfu kwa Maelfu ya...
  5. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kuthibitisha kwamba anawajali wakulima, atoa onyo kwa wawekezaji wa zao la chai Rungwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi. Akizungumzia uwekezaji katika...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Rais Samia, vyama vilivyoshiriki Uchaguzi ndo viingie kwenye maridhiano baada ya uchaguzi

    Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa. Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine. Mama husilidhiane na Chadema Kwa...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Masoko: Tutumie mambo yetu yale Wajinga wanaombeza Rais Samia mtandaoni walaaniwe

    Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Rais Samia kwa sasa anamalizia awamu ya Magufuli, kwahiyo bado anamiaka yake 10 ya kuwa Rais

    Hii miaka aliyokuwa anaiongoza mama ilikuwa ya awamu ya 5 ya Magufuli, mama awamu yake inaaza Oktoba 2025 hadi 2030 kwa kuchaguliwa kwa kupiga kura hapo sasa anaenda kuwa rais kamili wa kuchaguliwa na wananchi
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Humphrey Polepole ameandika ujumbe huu akiimuunga mkono Rais Samia

  11. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi hayo mafanikio ya Rais Samia hayatokani na yeye kusimama kwenye mabega ya watangulizi wake?

    Baadhi ya Viongozi wa nchi hii siyo tu kwamba wanaonekana kuelewa madaraka na uchawa, bali Sasa wameanza kukufuru. Mmoja wao ni Profesa Kabudi. Huyu anajua baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere enzi za uongozi wake alifanya mambo mengi makubwa na ya kukumbukwa. Nyerere alituunganisha watanzania...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aahidi kuweka taa za barabarani jijini Mbeya, asema ikiwezekana Mwanjelwa patajengwa daraja la kuvusha watu

    Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia panda ya Uyole, Sae jijini Mbeya, Meta na Njiapanda ya kwenda Chunya ili vijana waweze kujiajiri...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona. Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo. Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
  14. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwl. Mbelwa Petro asema ikiwa Rais Samia hatapata 99.9% ya kura zitakazopigwa Biharamulo oktoba 29 ashitakiwe mahakamani

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025 amesema ikiwa kura za Dkt. Samia Suluhu Hassan hazitafika...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abdul ndiye anayehusika

    Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti. Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hotuba za rais Samia kwenye kampeni za CCM zinasisimua na kuamsha matumaini, ari na shaku za wananchi wengi zaidi kupiga kura Oct.29.2025

    Sote ni mashuhuda kwamba, Kila kona ya nchi anapopita mgombea uraisi wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel John Nchimbi, hakuna mTanzania anaethubutu kubaki nyumbani, bali wananchi wote wakubwa kwa wadogo maeneo husika hujitokeza kwa maelfu kumpokea, kumuona na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aahidi Kukamilisha Ujenzi wa Bandari Kavu Tunduma

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha ujenzi wa bandari kavu yenye ukubwa wa ekari 1800 katika eneo la Katenjele lililopo Tunduma mkoani Songwe. Dkt. Samia amesema bandari hiyo itaondoa changamoto ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Rais Samia aitetemesha Tunduma. Helikopta zatanda angani na kuteka anga zima la mkoa wa Songwe. Apokelewa kishujaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia anapendwa na watanzania ni haijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Mama anapendwa kuliko kitu kingine chochote kile hapa Duniani. Mama anakubalika kuliko mtu yeyote yule hapa Nchini. mama anaaminika na kuungwa mkono mpaka watu wanatamani...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Daniel Chongolo: Kabla ya Rais Samia hatukuwa na Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo. Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
Back
Top Bottom