rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakuwa Butiama, Septemba 14, 2025

    Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika. Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda na bajaj Tanga Wamshukuru Rais Samia kwa Nafuu ya Kodi

    Kupunguzwa kwa kodi za vyombo vya usafirishaji kumewaletea nafuu maafisa usafirishaji mkoani hapa, hali iliyowasukuma kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwatengenezea mazingira rafiki ya kazi. Akiwasilisha shukrani kwa niaba ya maafisa usafirishaji wenzake, Mweka Hazina wa Chama cha...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais alisema anapenda kusoma Jamii Forums

    Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma? Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo. Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanafunzi wa Idete Sekondari wawaomba Vijana wamchague Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari Idete wamewaomba wanafunzi wenzao waliofikisha umri wa kupiga kura kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wameonyesha furaha yao wakimtaja Dkt. Samia kama kiongozi anayewapa hamasa ya kukazana kimasomo ili...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mabango ya Kigwangalla, ya kumnadi rais Samia yapigwa stop Nzega Tabora

    Katika hali isiyo ya kawaida, sintofahamu iliibuka Septemba 10, 2025 wakati wa siku ya kwanza ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora zilizofanyika Wilayani Nzega, baada ya mabango yaliyokuwa yakimnadi mgombea huyo kuondolewa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aahidi kutoa ajira mpya elfu kumi na mbili sekta za afya na elimu

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuongoza katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Serikali yake itatoa ajira mpya 12,000 katika sekta za afya na elimu. Akihutubia maelfu ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Dunia Inashangaa Rais Samia kufanya vizuri zaidi ya wanaume

    “Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdulkareem Atiki: Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia

    “Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia- Abdulkareem Atiki Mchambuzi wa Diplomasia na Siasa nchini.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashe amuomba Rais Samia Nzega iwe mkoa. Rais Samia asema atalifanyia kazi

    Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanikiwa kushinda na kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine aidhinishe kugawanywa kwa Mkoa wa Tabora ili upatikane Mkoa mwingine wa Nzega kutokana na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Rushwa imepungua nchini

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali. “Tumesimamia matumizi mazuri, na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee wa Nzega: Rais Samia amefanya yalishindikana kwa miaka 30 iliyopita

    Baadhi ya wazee wa mji wa Nzega Mkoani Tabora wameeleza namna walivyoshangazwa na maendeleo yaliyofanya na mgombea urais kupitia CCM Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha uongozi wake uliogusa kila sekta ikiwemo ujenzi wa madarasa,upatikanaji wa maji safi na salama kwa bei nafuu...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Hivi watoto wawili wengine wa Rais Samia ni kina nani na wanafanya shughuli gani? Hawahusiki kwenye mambo haramu?

    Wakuu, Rais Samia na First Gentleman wana watoto 4 (waotambulika kiserekare), wakike mmoja na wakiume 3. Watoto wanaojulikana ni wawili: Wanu ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum na sasa kajitosa kwenye kugombea pamoja na Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitasambaza umeme Tanzania yote

    Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au? My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo umeme unaosambazwa utaweza kukidhi mahitaji ya Watanzania nchi nzima na utakuwa reliable...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali imeanza mazungumzo ya Soko kubwa la Mbaazi na dengu nchini India

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali ya awamu ya sita ilishaanza mazungumzo na Soko kubwa la mazao hayo nchini India ili kuweza kununua...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mattembe: Rais Samia atapata kura nyingi na kumwagika kwa mambo makubwa aliyoyafanya

    Mgombea ubunge viti maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Singida Asharose Mattembe amesema katika Mkoa wa Singida kura za mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan zitajaa na kumwagika kwa mambo makubwa aliyoyafanya. Amesema hayo leo Septemba 9, 2025 kwenye kampeni za CCM mkoani...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ujumbe huu umechapishwa na Rais Samia akiomba wana Makunduchi wamchague Wanu Hafidh Ameir

  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Walisema Musa tuvushe walivyo fika jangwani wakasema tungebaki kwa farao , ni zamu ya Rais Samia

    Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema . Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Rekodi zinaonesha Rais Samia amefanya maendeleo makubwa

    “Uongozi wa Rais Samia unajieleza wazi kwa mambo aliyofanya na yanaonekana, amefanya maendeleo ya wazi na Uchumi umekuwa kwa kasi na Vitu vinaonekana” Mfanyabiashara Rostam Aziz katika Mahojiano na Mtangazaji Mkongwe Tido Mhando.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Kuna mtu fulani Ofisi Binafsi ya Rais anamkosea sana Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu

    Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu.
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
Back
Top Bottom