rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, viatu vya Magufuli vimekufaa

    Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha. Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu atunukiwa tuzo ya Utalii Barani Afrika

    Mama, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wewe ni alama ya uongozi kwa vitendo ndani ya Taifa letu, wengi sana watakubaliana nami katika hili akiwemo ndugu yangu Jumbe Brown . Umekuwa ni chachu ya fikra mbadala kwa sisi tulio katika nafasi za uongozi sehemu mbali mbali...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7, === Namba hazijawahi kudanganya na...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama kweli uko makini na lugha ya Kiswashili basi anzia nyumbani - Tanzania ndio inaongoza kwa kuharibu lugha ya Kiswahili

    Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili. Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

    Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu . Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awapigia simu wasanii kwenyekusanyiko la 'Ongea na Mama'

    Rais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es Salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi kujumuika nao siku moja kwa ajili ya chakula cha jioni.
  9. JamiiForums Tanzania Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  12. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

    Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kumteua Sofia Mjema kuwa RC mpya wa Shinyanga

    Ni Dada ( Mama ) ambaye kuanzia ndani ya Chama Tawala (CCM) alikuwa amepikwa vyema ila alipokuwa DC wa Ilala kila alipotakiwa Kupandishwa kuwa Mkiu wa Mkoa kuna Mtu Mmoja (sasa amenyamaza sana) japo huko nyuma alikuwa ndiyo kila Kitu Tanzania alikuwa akimfitinisha kwa Baba yake wa Hiari na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

    TEGENI SIKIO JUMAPILI RAIS SAMIA ANA JAMBO ZITO SANA-MBUNGE DITOPILE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile leo amejumuika na wanaCCM wenzake katika Kata ya Bulungwa kumuombea kura Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani huku akiwataka...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

    Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara. Sasa kuna maswali yafuatayo: Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo Kata ya Uruwira Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Naibu Waziri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongeza kuanzishwa kwa kituo jumuishi mahususi kwa kushugulukia mashauri ya kifamilia

    RAIS SAMIA APONGEZA KUANZISHWA KWA KITUO JUMUISHI MAHUSUSI KWA KUSHUGULUKIA MASHAURI YA KIFAMILIA Na Mwandishi Wetu 06/10/2021 🇹🇿🇹🇿 Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo Jijini Dodoma wakati akizindua vituo jumuishi vya utoaji haki. Mahakama Kuu imeanzisha kituo jumuishi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

    EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa? ============== Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka wadau wa mfumo wa Haki kuzingatia Sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria. Ameeleza, "Tunaweza kuwa na majengo mazuri na mfumo bora wa TEHAMA, lakini kama Mahakimu, Majaji na...
  20. JamiiForums Tanzania Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

    Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu. Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…