rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Upinzani dhidi ya Rais Samia unazidi kupata nguvu

    Samia alipochukua madaraka ya Urais, kwa yale machache aliyoyafanya mwanzoni, yalimfanya apingwe sana na hardliners wa CCM, hasa CCM ya marehemu Magufuli. Kwa upande mwingine, aliungwa mkono sana na wanaCCM wenye busara na misimamo ya wastani, wapinzani walio wengi na wale wasio na vyama vya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Rais Samia atakumbukwa kama 'Iron Lady', tumpe muda ya kuendeleza vita vya uhujumu uchumi na ugaidi

    Tukiachana na unafiki, hakika nikiri kusema Serikali ya Rais Samia ni imara na madhubuti kwenye kusimamia amani na usalama wa nchi yetu. Jukumu la Rais kama amri jeshi mkuu ni kuhakikisha usalama na amani vinalindwa kwa nguvu zote na yeyote anayeonesha viashiria vyovyote vya kuvunja amani...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

    Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo. Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle)...
  5. blance86

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Tathmini yangu juu ya mahojiano kati ya BBC na Rais Samia Suluhu

    Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan. Na Dotto Bulendu (MwanaPuge).Nikiandika kutoka kijijini Puge. @@@@@@ BBC wamefanikiwa kuongeza umaarufu wao Kwa Siku ya jana Kwa Maana ya Idadi ya watu wanaowasikiliza na kuwatazama kupitia Vyombo vyao vya Redio,TV na...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

    Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe. Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo...
  7. n00b

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

    Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali inamuogopa na haina hata ubavu wa kupa onyo. Hivi huko Ufufuo wa Misukule na Uzima hawana Ibada...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali
  10. Honorable GPA

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi ajira 40,000 alizotuahidi Rais Samia?

    Nakumbuka siku ya mei mosi mwaka huu, mheshimiwa Rais alituhaidi kwamba serikali yake inatarajia kutoa ajira za kudumu 40000 kwa vijana mwaka huu. Hata bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo utekelezaji wake umeanza mwezi wa saba pia inazungumzia hicho kitu. Japokuwa...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye. Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
  13. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia: Serikali imeanza kuukumbuka Mkoa wa Mbeya

    Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano. Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaongoza Watanzania kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi, hayati Elias John Kwandikwa

    Tukio liko mubashara TBC. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. RIP Kwandikwa ====== Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza shughuli ya Kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi na JKT, John Kwandikwa, leo tarehe 6 Agosti, 2021 Kinachoendelea kwasasa ni katibu mkuu kusoma wasifu wa...
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Watumishi 6 waliofukuzwa kazi Halmashauri ya Siha wamwangukia Rais Samia, waomba iundwe tume huru

    Watumishi 6 waliofukuzwa kazi katika halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia suala lao na kisha kuunda tume huru kuchunguzwa namna walivyofutwa kazi kwa madai kwamba kuna uonevu mkubwa ulifanyika. Mbali na kufutwa kazi pia wameiangukia tume huru ya...
  16. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
Back
Top Bottom