rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia na hotuba ya matarajio kwa Watanzania

    RAIS Samia Suluhu Hassan, amezidi kuonyesha ni kiongozi mwanamageuzi, mtu bora na sahihi aliyeandaliwa kuwa kiongozi madhubuti kwa namna anavyowasilisha hotuba zake, ambazo zimekuwa zikivutiwa watu na kutoa mwelekeo thabiti wa Tanzania bora, ambayo inakwenda kufanikiwa chini yake. Hii...
  2. W

    Rais Samia akutana na Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Katibu Mtendaji wa SADC)

    IKULU Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021
  3. Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

    Kati ya 100% unampa ngapi? Source: Global-Publishers Instagram.
  4. Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

    Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM. My Take 1. Demotion isikie tu kwa mwenzio 2. Malipo ni hapa hapa duniani
  5. Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru. Mama endelea kutumia hii salamu kila mara. Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
  6. W

    Hotuba ya Rais Samia naifananisha na ile ya Mzee Kikwete alivyoingia madarakani

    Wakati Mhe. Rais kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alitoa hotuba safi sana, ambayo kweli tulikuwa na matumaini ya kuwa na Tanzania mpya, na yenye maendeleo ya kasi. Aliongelea mambo mengi ikiwepo uwekezaji, na kujali wawekezaji, kweli milango ilifunguliwa tulipata wawekezaji wa kila...
  7. Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa. Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye...
  8. Makofi ya leo bungeni, wabunge wapatiwe huduma ya kwanza

    Sijui ni kuzidiwa na utamu? Au ni umafiki? Au ni sababu ya kupata ladha mpya!! Waitwao wabunge leo wa CCM na wale covid-19 walipigia makofi kila alichokisema mama Kuna wakati hata hayakuhitajika lakini yalipigwa... Meza za bunge leo zimeipatapata na viganja vya waheshimiwa kama havijavilia damu...
  9. Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  10. W

    Uchimbaji Madini katika Mbuga zetu Ufikiriwe mara mbili kabla ya hatua kuchukuliwa

    Kwako Mhe. Rais, Mhe. Rais wetu mpendwa, Suluhu Hassan, Nakupongeza kwa jinsi unavyo tujali watanzania, na roho yako ya upendo, kama ulivyosema unatumia maneno ya mama. Siku zote mama uwa na lugha ya upole na sikivu lakini mama ni nguzo kubwa ya Familia. Katika hotuba yako ulitoa agizo kuwa...
  11. M

    Kumbukizi ya Mama Samia Suluhu: Mawaziri wanaojibu ovyo huko ndani, ni mimi na wao. Watanijua mimi ni nani

    Hakika inawezekana Mama Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan aliishi katika Umakamu wa Rais pasipo kuheshimiwa na walio chini yake! Hawa watu leo wanajisiakiaje. Twende hivyo hivyo. Nimepeni majina yote. Mimi nitaomba niingie huko. Nikiingia, hao mawaziri wanaojibu ndivyo sivyo, tutajuana...
  12. PreGE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

    Chini ya Hayati Magufuli, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa. Mgawanyiko wa jinsi hii haujawahi kutokea kwenye awamu yoyote ya urais huko miaka ya nyuma - ulikuwa mgawanyiko uliosheheni kuhasimiana kiasi cha kufikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…