rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Suala la utalii analotangaza Rais Samia siyo la muungano. Rais Hussein Mwinyi naye ajitangaze kivyake Zanzibar

    Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar. Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania. Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja na Pemba aje na sinema yake tofauti na hii ya Samia.
  2. Rais Samia ni nyota inayong'aa

    Ukweli haujifichi, ilikuwa ni swala la muda tu Tanzania na Duniani kote kuona nyota kuu inayong’aa kwa Rais wetu kipenzi Mama wa Vitendo Samia Suluhu Hassan. Leo umoja wa Machifu wamedhihirisha hilo katika tukio la kipekee sana huko Bujora Mwanza ambapo kwa pamoja umoja huo wa machifu wamempa...
  3. Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

    Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka...
  4. Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  5. M

    Rais Samia baada ya Kuukubali na Kuutambua Uchifu Tanzania basi nakuomba uyakubali na yafuatayo

    1. Matambiko ya Kimila 2. Uchawi / Ushirikina 3. Utani wa Makabila MATAMBIKO YA KIMILA Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka ) Kwa mfano Kabila langu ukiona uko Mjini na Maisha hayaendi yakupasa kurejea kwa Wazee kisha unakogeshwa...
  6. Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

    Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
  7. Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu

    Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia. Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu...
  8. S

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa (Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa mtandao

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septemba 7, 2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia...
  9. B

    Mwanza: Tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania limeanza leo katika viwanja vya msalaba mwekundu

    Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kwa kushirikiana na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza wameandaa tamasha kubwa la utamaduni lenye lengo la kurithisha utamaduni wetu kwa vizazi vyetu vya sasa litakalofanyika katika viwanja vya Redcross Kisesa Jijini Mwanza kuanzia leo Jumanne Septemba 07...
  10. Tusimuachie Rais Samia jukumu la kuinua uchumi wa nchi, tushirikiane..

    Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee. Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
  11. B

    Serikali yapandisha bei ya zao la Cacao mpaka Tzs 5015 kwa kilo

    Mnada wa Cacao wenye Catalogue no 10 ya 2021/2022 umefanyika Mkoani Mbeya Wilayani Kyela, Mwambusye Amcos mnamo tarehe 06/09/2021. Jumla ya uzito ni kg 266,980, bean count 88, slate 1.9, flate 1.0, mould 0.2. Bei tsh 5015 per kg Mzigo kwa bei hiyo Thamani yake ni Tsh.Bilion 1,338,904,700/=...
  12. Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

    Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini. Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa. Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais...
  13. Rais Samia: Kuuza ovyo Tanzanite kunashusha thamani yake

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na kuongeza, "Endapo yatauzwa kwa mpangilio na kuachiwa kidogo kidogo duniani thamani yake itapanda"...
  14. Rais Samia awasili Kilimanjaro kwa ajili ya kurekodi kipindi maalumu cha Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
  15. Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Hii kesi ni kesi ambayo wanataka kujadili mambo madogo tu ambayo hayana umuhimu wowote kwa taifa. Ikumbukwe alikuwepo Magufuli ambaye alikuwa mpole sana kwa raia wanyonge lakini mkali sana kwa mafisadi, mkali sana kwa wapinzani. Tumeona mambo ya ovyo yaliyokuwa yanawafika wapinzani...
  16. W

    Kwanini mnatamani Rais Samia awe Bora kuliko Hayati Dkt. Magufuli?

    Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!! Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini Tozo si maono yake Barakoa na chanjo si maono yake Kesi ya mbowe si maono yake Kuhojiwa Gwajima si maono yake Bei za mazao si maono yake Hivi ni nini kinaendelea nchini kwa...
  17. Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

    RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO, Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg, Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg, Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo...
  18. Rais Samia aorodheshwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika. Ripoti ya Avance Media (100Women | Avance Media | 100 Most Influential African Women) yenye Makao Makuu...
  19. N

    Je, Huenda Rais Samia anang'ata na kupuliza?

    Kuna mambo ambayo ukijifikiria hupati jibu rasmi, Mwuenendo wa Rais Samia Suluhu umewachanganya wengi mpaka sasa baadhi wanamuelewa baadhi hawamuelewi na baadhi wamechanganyikiwa kabisa, Wakati anaingia mwanzo mwanzo wapinzani walifurahi sana na wnanchi kwa ujumla, Wapinzani walifurahi sana...
  20. Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

    RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…