rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40. Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

    Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo. Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa. Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

    Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani. Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  6. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

    Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na...
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna biashara za mtandao nyingi zinafanyika hazilipi Kodi na hatuzijui. Mfumo wa Anwani utakapoingia, tutawajua

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana Mfumo wa uhakika wa utambuzi wa Wakazi na Makazi umepelekea athari nyingi kiuchumi, kiusalama na kijamii. Amesema manufaa ya Mifumo hiyo ya utambuzi ni mengi ikiwemo kuwezesha kufanyika Biashara Mtandao na kuimarisha usalama. Ameeleza...
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa mbali leo bila Rais Samia

    Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo? 1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi 10 zenye uchumi bora Africa mpaka nje ya top 10 na kuzidiwa na vinchi kama Ghana na Angola...
  10. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka wananchi kuacha kufanywa ngazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kuamka na kuacha kufanywa ngazi akisema, "Hawa watu wanakuja na maneno mazuri wanawafanya kuwa ngazi mnainama wanapanda. Wakifika wanapotaka, hamna maana" Akiwa Mkoani Mara amesema Miradi inayoletwa ni ya Wananchi hivyo waifuatilie, na...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia agusia uzembe, ufujaji fedha na mivutano Mkoani Mara. Aagiza Wakaguzi wa Ndani wabadilishwe

    Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa licha ya kuwepo Wakaguzi wa Ndani, akiwataka, "Wafanye kazi zao ili kuona haya madudu mapema"...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hapa Mara tutaurudisha mchakamchaka wa awamu iliyopita kwa sababu Miradi imezorota sana

    Rais Samia amesema hakuendelea na style ya mchaka mchaka kwa sababu anaamini viongozi ni watu wazima wanaojitambua hivyo kama wakitenda ndivyo sivyo wanakuwa wanafanya makusudi na kwa kudhamiria. Rais Samia amesema lakini kwa sababu mkoa wa Mara umeonekana kusuasua na miradi mingi inakwama...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa Serikali maji si biashara, ni huduma

    Akiwa katika uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Miundombinu ya Kusafisha na Kutibu Maji Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara amesema, "Kwa Serikali ndoo moja ya maji ya lita 20 inauzwa kwa Tsh. 37. Wananchi mnaonunua maji ni mashahidi dumu moja la lita 20 mnanunua Tsh. 1,000 na kwenda mbele" Rais Samia...
  15. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia vunja TAKUKURU na iundwe upya

    Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu. Ni taasisi ambayo haina kazi na ina bajeti kubwa sana, Taasisi yenyewe imejaa wapigaji. Ukiangalia Habari kila sehemu ni...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

    Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo. "Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakurugenzi (DEDs) muda wenu wa uangalizi (probation) unaisha 18/02/2022 baada ya hapo tutaamua nani abaki nani aondoke

    Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio (probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022. Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kulikuwa na vinenoneno miradi haitaendelea, inaendelezwa kuliko ilivyokuwa ikiendelea

    Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

    === Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa, Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
Back
Top Bottom