rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
  2. JamiiForums Tanzania Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Hii, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote! Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kuwa Rais yeyote ukimuondoa Nyerere

    Wanabodi, Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema. Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote!. Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kufanywa na Rais yeyote...
  6. JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

    Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022 Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete acha 'Kuzunguka' mwambie tu Rais Samia kuwa 'Uchifu' si mzuri kwa sasa Tanzania

    Usiogope kwani kwa jinsi Mama anavyokukubali tokea ulipomtoa Zanzibar kwa Karume, ukampa Ulaji katika Bunge la Katiba na mwishoni ukamuombea 'Ulaji' kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ukimwambia kuwa hujapendezzwa na Kitendo chake cha Kuruhusu 'Uchifu' kurejea Tanzania wala hatomtosa Unaibu Uwaziri...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya. Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
  10. JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Samia atembelea Kiwanda cha Sukari Kagera, azindua mradi wa maji Kyaka - Bunazi, Missenyi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022 RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani Ni kweli Jeshi la Magereza linamiliki ardhi eneo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Haya ni Matunda ya filamu ya Royal Tour ndani ya Miezi miwili pekee tu, kwa hili Mama aliupiga mwingi

    "Ni Matunda ya filamu ya royal tour ndani ya Miezi miwili pekee tu! Watalii wafurika Tanzania". Ikiwa ni baada ya Miezi miwili tu tangu filamu maalumu ya royal tour iliyomuhusisha rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kutambulishwa rasimi nchini marekani na baadae...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Marehemu Magufuli alinifundisha mambo mengi na dhamira yake niliielewa vizuri. Dhamira ni ileile

    Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita. ======= Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa safarini kuelekea Mkoani Kagera, asimama njiani kuzungumza na Wananchi leo Juni 8, 2022

    ======= Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
  15. JamiiForums Tanzania Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

  16. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomshinikiza Rais Samia amuachie huru Sabaya acheni, Mwacheni Sabaya avune alichopanda!

    Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais ajisikie hatia kwa uwepo wa sababya ndani na hivyo kuchukua uamuzi wa kutumia ushawishi wake kumfutia...
  17. JamiiForums Tanzania CCM kuhodhi viwanja vya michezo kunarudisha nyuma juhudi za Rais Samia

    Mama Samia ni Rais ambae ilikuwa kama kuota ndoto ya mchana kumpata. Mpaka sasa Mama huyu amedhihirisha kufanya mengi ambayo watangulizi wake hawakuyawaza wala kuyaota. Ana bahati sana kwenye kipindi chake timu ya mpira wa miguu ya wanawake kufuzu kwenda kushiriki kombe la wanawake huko India...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

    Na Yohana Mangala, Dar es Salaam Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anafanya kazi kubwa ya kujenga taifa na kuleta...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia atategua kitendawili kilichotegwa na Hayati Magufuli mkoani Kagera?

    KAGERA TUNAMPOKEA RAIS TUKIWA NA MATUMAINI NA FARAJA. Miaka 6 imepita tangu tulipopatwa na janga kubwa na la kihistoria katika Mkoa wetu TETEMEKO LA ARDHI wengi mnakumbuka tulipopatwa na janga hilo RAIS alimtuma Waziri mkuu baada ya mwaka mmoja Rais alikuja Kagera akatwambia serkali yake...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 5 muhimu yanayokwenda kufanyika kuchochea uwekezaji nchini. Ahsante Rais Samia

    Je wajua serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeanza utekelezaji wa Kongani ya viwanda(Industrial Park) ya Kwala? Awamu ya kwanza inatarajiwa kukamilika ifikapo 2024. Ujenzi huu ukikamilika unatarajia kuwa na viwanda 200, kuzalisha ajira za moja kwa moja 100,000 na zisizo za moja kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…