rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kudhani kuwa ili watu watege masikio kwa Rais Samia ni kuviponda vitu alivyofanya Hayati Magufuli

    Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza. Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaziishi ahadi zake kwa vitendo

    BAJETI YA SERIKALI 2022/2023 ILIVYOGUSA MAISHA YA VIJANA (Rais Samia anaziishi ahadi zake kwa vitendo) Na Victoria Charles Mwanziva. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Jambo kubwa lililokua linasubiriwa na vijana wengi wa Tanzania ni bajeti kuu ya serikali 2022/2023 ili kuona ni...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam la sita kwa Usafi Afrika. Asema limetoka kwenye vijibanda na vimwamvuli

    Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street. Lakini kwasababu ya kutekeleza...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa AMECEA, asisitiza ushirikiano wa Taasisi za Kidini na Serikali katika Utunzaji wa Mazingira

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Nataraji baada ya kazi ngumu kwa wale wageni mliotoka nje ya mipaka yetu mtakuwa na muda wa kuzunguka na kuiona vema Tanzania. Waheshimiwa Maaskofu, Wajumbe wa kutano huu, Mabibi na Mabwana nimejulishwa kuwa mnakutana hapa Dar es Salaam – jiji letu la kibiashara...
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 3,000 Waliopata ujauzito na sababu mbalimbali warudi Shuleni. Benki ya Dunia yaahidi kuongeza misaada

    Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo ambayo yatachochea ukuaji wa kipato cha wananchi na kukuza uchumi wa nchi. Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Benki...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Suluhu asiweke JWTZ kusimamia bandari?

    Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Sri Lanka, Tanzania tushukuru kuwa na Rais Samia

    Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni. Alikuwa akikopa mikopo mikubwa isiyo na unafuu na kufanya mambo ambayo yameifanya Sri Lanka...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

    Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii. Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimeupenda huu mfumo wa Rais Samia kuwatumia Wakongwe Prof Kabudi, Mkuchika, Lukuvi na Wassira kwa Kazi maalumu. CCM sasa haina mshindani!

    Huu utaratibu ni mzuri sana. Kwenye mambo ya kimataifa na mikataba nyeti unamkuta Prof Kabudi Ukija kwenye Ulinzi na Usalama unamkuta mzee Mkuchika Utawala wa ndani unamkuta mzee Lukuvi Kule kwenye Siasa za Maridhiano utamkuta Nguli la siasa za Bongo Komredi Wassira Mungu wa mbinguni...
  11. JamiiForums Tanzania Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Karibuni. Pasco
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Habibu Juma Suluo kuwa Mkurugenzi LATRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake. Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewafungulia njia wananchi wa Msomera

    Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi ambazo zina maeneo makubwa ya ekari 2 na nusu na kujengewa miundombinu yote ikiwemo umeme, maji...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Suluhu anasafiri?

    Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu. Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za...
  15. JamiiForums Tanzania Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

    Salaam Wakuu, Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu. Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja Rais Samia ailetea Tanzania zaidi ya trillion 43

    "Ndani ya mwaka mmoja ailetea Tanzania zaidi ya trillion 43" Ikiwa ni mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kushika atamu, kumekuwepo na mijadara inayozungumzia juu ya mwenendo wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kusafiri ng'ambo tofauti za nje ya nchi ikilinganishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokwenda kuweka historia sekta ya kilimo nchini

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
  18. JamiiForums Tanzania Shule iliyonufaika na fedha za Uviko-19 yaingia 10 bora

    Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini badala ya kununua vifaa vya kujikinga na janga hilo. Fedha hizo shilingi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

    1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko. 2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

    Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…