rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  2. Erythrocyte

    Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

    Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa. Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
  3. Ritz

    Ziara ya Rais Samia Ulaya, Lissu na Lema mlituambia Tanzania imetengwa?

    Wanaukumbi. Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu...
  4. beth

    Ziara ya Rais Samia Ufaransa: Tanzania yasaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178

    Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka Vilevile, Tanzania na...
  5. Nyendo

    Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  6. M

    Nabii Joshua atangaza siku 121 za kumwombea Rais Samia na kutokomeza mauaji

    Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala === KIONGOZI Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Dkt.Joshua Aram Mwantyala ameitisha maombi ya siku 121 kwa ajili ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  7. Msambichaka Mkinga

    Kuna nafasi nzuri zaidi ya kujenga Taifa linalozingatia haki na Rais Samia

    Ukiyatazama yaliyofanyika wakati wa Samia, ukiacha doa kubwa la kesi ya inayoaminika ni ya kumbambikia Mbowe na makomandoo, kuna nafasi nzuri zaidi ya kuijenga Tanzania ya haki na demokrasia, katika utawala huu wa Samia, pengine kuliko utawala wa mwingine yeyote. Kuna mengi positive yamefanyika...
  8. Erythrocyte

    Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

    Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania wanaoishi huko, akiwemo Mwanaccm Mange Kimambi na kisha kubadilishana nao mawazo. Sasa uzuri wa...
  9. Nyani Ngabu

    Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

    Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia. Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini. Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa...
  10. Ferruccio Lamborghini

    Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40. Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
  11. M

    Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  12. Mchochezi

    Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

    Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo. Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa. Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
  13. beth

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

    Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani. Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
  14. robinson crusoe

    Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  15. Kinuju

    Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

    Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na...
  16. Tanzania Railways Corp

    Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  17. beth

    Rais Samia: Kuna biashara za mtandao nyingi zinafanyika hazilipi Kodi na hatuzijui. Mfumo wa Anwani utakapoingia, tutawajua

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana Mfumo wa uhakika wa utambuzi wa Wakazi na Makazi umepelekea athari nyingi kiuchumi, kiusalama na kijamii. Amesema manufaa ya Mifumo hiyo ya utambuzi ni mengi ikiwemo kuwezesha kufanyika Biashara Mtandao na kuimarisha usalama. Ameeleza...
  18. Abraham Lincolnn

    Tungekuwa mbali leo bila Rais Samia

    Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo? 1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8 kati ya nchi 10 zenye uchumi bora Africa mpaka nje ya top 10 na kuzidiwa na vinchi kama Ghana na Angola...
  19. Orketeemi

    Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  20. beth

    Rais Samia awataka wananchi kuacha kufanywa ngazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kuamka na kuacha kufanywa ngazi akisema, "Hawa watu wanakuja na maneno mazuri wanawafanya kuwa ngazi mnainama wanapanda. Wakifika wanapotaka, hamna maana" Akiwa Mkoani Mara amesema Miradi inayoletwa ni ya Wananchi hivyo waifuatilie, na...
Back
Top Bottom