rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia huwa anatumia vigezo gani katika teuzi zake?

    Wakuu, Rais wetu mara kadhaa amekuwa akiteuwa na kutengua teuzi zake, pia amekuwa akibadili majukumu ya viongozi mara kwa mara, mara hii hadi kaamua kumrejesha mtu aliwahi kumtumbua katika position ile ile! Sasa maswali ni je, huwa anazingatia Nini hasa katika teuzi za viongozi mbalimbali...
  2. Teuzi za Rais Samia zinavyoinua wanawake

    Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
  3. Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

    Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa mikoa 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao vya kazi. Uapisho wa viongozi hao utafanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 01 Agosti...
  4. J

    RC Kafulila: Rais Samia ni shujaa mpya wa Afrika anayechomoza kwa kasi ya ajabu

    Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu, " Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu, inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni...
  5. Serikali ya Rais Samia yatenga tsh. Bil 83.4/- kuinua wachimbaji wadogo nchi zima

    Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza neema kubwa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima. Neema ambayo inakwenda kuwakomboa kabisa kimaisha. Hatua hii imekuja baada ya kuonekana kwamba wachimbaji wadogo na sekta nzima ya madini imekuwa na mchango mkubwa sana katika...
  6. M

    RC Kafulila: Rais Samia anatupitisha njia ile ile ya Korea na Vietnam, tulikuwa nao sambamba kiuchumi miaka ya 1990's walituacha sasa tunawashika

    RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO, Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema, Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana, Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo...
  7. Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

    Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
  8. Rais Samia, tunaomba Umtoe Mkurugenzi wa NBS, atatuharibia Sensa. Hili ni suala la Kitaifa

    Salaam Wakuu, Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa, tunaomba apumzishwe ili kazi hii ya Sensa iende Vizuri. Hili ni Suala la Kitaifa si Swala la CCM. Kila mtanzania anatakiwa ashiriki hata asiyekuwa na chama. Tutafute Mtu asimamie Sensa kwa Manufaa ya Nchi. Dk Chuwa...
  9. Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  10. Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

    Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa. Kimsingi Rais Samia ndani ya siku 495 za Urais wake, amefanya makubwa katika kila sekta, wazungu wanasema 'No stone left unturned'...
  11. K

    Rais Samia kwenye Sekta ya Michezo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni: Kukarabati Viwanja 7 kwa gharama ya Tsh Bilioni 10 Kuratibu na Kusimamia UMITASHUMTA na UMISETA Kuratibu...
  12. Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  13. B

    Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika

    RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
  14. S

    Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style

    Rais Samia amejizolea umaarufu kuwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini. 1. Rais Samia...
  15. Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  16. Tatizo kubwa siyo "Nyongeza ndogo" ya mshahara, tatizo kubwa kukatwa mpaka na vyama vya wafanyakazi (Rais Samia ondoa makato ya lazima ya vyama)

    Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe. Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari. Hii ni DHULMA. Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa. Mtumishi hatakuja kupata...
  17. J

    Watumishi: Hayati Magufuli hakupandisha mishahara mlilalamika, Rais Samia kapandisha mishahara mnalalamika. Hivi mpoje nyie?

    Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa. Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana. Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado wanalialia Nyie watumishi mkoje lakini? Mnataka nini?
  18. Rais Samia akifungua barabara ya Afrika mashariki (Arusha Bypass) KM 42.4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022 ======= Hotuba ya Rais Samia, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu na...
  19. Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  20. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…