rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtanzania mwenye Orodha ya ahadi alizowahi kuzitoa Rais Samia na zikafanyika Aziweke hapa

    1…….. 2……..
  2. B

    Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  3. Hongera Rais Samia kwa zoezi la Sensa linaloendelea nchini

    Salaam wanajukwaa na watanzania wote. Kwanza, nimshukuru Mungu muumba kwa uzima na afya tele NAMI nimeiona siku ya leo. Pili, Nimshukuru Rais wetu Mpendwa Mama msikivu, mnyenyekevu, mpole, mchapakazi, na mwenye mapenzi mema na nchi yetu, Mama SAMIA kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa weledi...
  4. M

    Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  5. L

    Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

    Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania. Kwanza Mh. Rais ametambua kuwa kilimo ndio sekta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti. Hivyo juhudi zozote...
  6. Rais Samia anawapa nguvu wanawake

    Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kusikia mijadala inayohusu uwezo wa mwanamke katika kuongoza, ilionekana mwanaume ndiye anafaa. Dhana hii inazidi kukosa mashiko kadiri siku zinavyokwenda kutokana na ufanisi unaoonekana kwenye nafasi zilizoshikwa na wanawake. Wanawake wenyewe wamekuwa mstari wa...
  7. T

    Je, umewahi kujiuliza nia ya Rais Samia kusamehe wafanyabiashara kodi za nyuma?

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
  8. Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  9. Rais Samia ahutubia taifa leo Agosti 22, 2022. Ametoa wito na kuwasihi Watanzania wote kujitokeza kuhesabiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali...
  10. Maajabu! Leo Rais Samia ameni-text

    Mmoja kwa moja niende kwenye picha ya kusindikizia uzi. #UziTayari
  11. Somo zuri kwa Rais Samia kutoka kwa Rais Hussein A. H Mwinyi.

  12. V

    Rais Samia acha kuwaonea aibu wakwepa kodi, nchi itateketea

    Uki-review hotuba za Rais Samia utagundua ni mtu asiyetaka kabisa mapapa waguswe Nchi hii wakwepa kodi wakubwa ni hawa wanaojiita mabilonea, wapo tayari waue ili wasilipe kodi Wanasiasa wengi wanamabiashara hawalipi kodi inavyotakiwa Kwenye tozo hawa mapapa huwapati fedha zao wametunza kwa...
  13. Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

    Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi? TAMKO LA TRC Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
  14. Rais Samia "muondoe "Mwigulu wizara ya fedha..

    Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi... Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team...
  15. Kwa hizi tozo, siyo Mama Samia ni Rais Samia

    Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe SUNDAY AUGUST 21 2022 Summary Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi...
  16. Rais Samia, Dkt. Mpango na Majaliwa hawalipi kodi wala tozo yoyote hapa nchini

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
  17. Rais Samia apeleka bil 20 kukuza uvuvi ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria. Naibu Waziri wa...
  18. Licha ya Rais kujitahidi kuchapa kazi lakini bado Wananchi hawamuelewi!

    Sabato Njema! Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi. Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi. Hii inasababishwa na nini? Kuna...
  19. Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  20. Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…