rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vyama 16 "Kuomba mkutano na Rais Samia", njia ya mkato kuelekea Maridhiano?

    Wakuu, Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Watu sio wajinga...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana Na Wagombea Urais Wa Vyama Zaidi Ya 16 Uchaguzi Uliopita. Anyoosha Na kukunjua Mkono Wa Maridhiano. Wakoshwa na uchapakazi wake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu. Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Wagombea Urais kutoka Vyama 16 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi, 2026, alikutana na wagombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sema neno juu ya upandaji wa bei ya mafuta

    Habari wanabodi.... Kauli ya Rais ni Sheria.... Watanzania wote tuna imani na tunaamini kwamba Rais akitoa kauli juu ya jambo fulani bhasi hakuna mtu wa kupinga, kinachofuata hua ni utekelezaji na utendaji juu ya kauli hiyo. Sasa bhasi kwa pamoja tumuombe Rais Samia aseme neno Juu ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete akiwa na Timu ya mpira wa kikapu Dar City nchini Afrika Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema Sana Humu jukwaani na kula sehemu hapa Nchini kuwa Rais Samia ni Chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa Hapo Alipo kwa kibali maalumu cha Mwenyezi Mungu Mwenyewe. Rais Samia akikupatia Baraka na kukutakia Heri ni lazima ufanikiwe,ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia agusa mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa kutoteua waziri wa kuziba nafasi ya Lukuvi kabla hajazikwa. Apongezwa kwa moyo wake wa utu

    Ndugu zangu Watanzania, Mamillioni kwa mamillioni ya watanzania wameonyesha kuguswa na kukoshwa sana na Hatua ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia kwa hatua yake ya Kutoteua Waziri atakaye ziba nafasi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza PPRA kutekeleza sera ya ‘Name and Shame’: Watajeni wanaofanya vibaya kwenye ripoti ya CAG wajisikie aibu

    Wakuu, Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2026, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuanza utaratibu wa kuyaanika hadharani mashirika na taasisi za umma zinazofanya vibaya katika usimamizi wa fedha na ununuzi, akisema hatua hiyo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapokea Ripoti ya CAG na Taarifa za TAKUKURU na PPRA, Ikulu Dar es Salaam, Machi 30, 2026

    https://www.youtube.com/live/QA0TJ67CiXI?si=4XzdYqPxyfSkdAiX Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Rais Samia kwa kumpongeza na kummiminia sifa Paroko kwa kuendesha Ibada ya kumuaga Lukuvi kwa Nidhamu. Padre Charles Kitima ajifunze

    Ndugu zangu Watanzania, Naungana Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge kwa hatua yake ya kumpongeza na kummiminia Sifa Baba Paroko kwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa William Lukuvi Viwanja Vya Karimjee Dar es salaam. Mheshimiwa Lukuvi Aliaga Dunia baada ya Kuugua...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Makamu Mwenyekiti Wa Umoja Wa Afrika. Afrika inakwenda Kuheshimika Duniani Kote na Kuwa na Sauti ya Mamlaka

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa ni Makamu Mwenyekiti Wa Umoja Wa Afrika. Hivyo kutokana na Umahiri wake wa kiuongozi,Akili kubwa, Maono Makubwa , Ushawishi wake ,Ujenzi wa hoja na mikakati kabambe. Afrika inakwenda kuwa ile ambayo Waliitoa na kuitamani na kuwa na kuwa nayo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ninamuamini Sana Rais Samia na naamini Tanzania Itapiga Hatua Kubwa Sana za Kimaendeleo Awamu Hii

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninamuamini na kumkubali sana Rais Samia . Ni kiongozi Ambaye naamini ni mtu sahihi kuendelea kuliongoza Taifa letu. Nina Mwamini kuliko Mtu mwingine yeyote yule. Sina wasiwasi wa aina yoyote ile na Rais Samia. Hadi Natamani aendelee kuongoza Mpaka Achoke...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kikao cha Umoja wa Afrika (AU)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi...
  16. JamiiForums Tanzania Samia: Si kila mtu anatamani kutuona katika hali ya Amani, umoja na utulivu katika Nchi yetu, Tuzidishe mshikamano na upendo

    Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea kuwa amani na utulivu, licha si watu wote wanatamani kuiona Tanzania katika hali ya Amani, Utulivu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Baraza la Eid el-Fitr Machi 21, 2026 Dar es Salaam

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid el-Fitr Machi 21, 2026 ukumbinwa JNICC, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/_XXQIxKOIfM?is=RI-9209DrxuM140a Updates... Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mufti ataka Rais Samia aombewe

    Mufti ataka Rais Samia aombewe
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amlilia Mwanamke Wa Kwanza kusomea Shahada ya Sheria na Wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati Kuwa Jaji wa Mahakama kuu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…