rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

    Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais). Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea

    Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye Mohammed H. Zimu ambaye ni rafiki wa karibu wa Deusdedith Soka na wenzake wawili (2) imejiridhisha...
  4. JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
  5. JamiiForums Tanzania Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kariakoo inahitaji Baraza maalum la Biashara ambalo litakuwa na hadhi ya Mkoa

    Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa. Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewateua Majaji wa Mahakama ya Rufaa wafuatao: - Amemteua Jaji Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo, Jaji Muruke alikuwa Jaji Mfawidhi, Kituo Jumuishi cha Mashauri ya Ndoa, Talaka na...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kwa kutinga Fainali za CAF Confederation Cup

  9. S

    JamiiForums Tanzania Majaliwa amewaacha wafanyabiashara Kariakoo na matatizo yao bora angeenda Rais Samia Suluhu

    Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana. Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo. Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, Ikulu Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kazi kwako kuwaacha au kuwaondoa ‘for the sake of the nation and the party’

    Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu. Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nia njema ya Rais Samia isitiwe matope

    Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden ni tamaa ya kutaka kuwa sawa na Mungu. Licha ya Mungu aliyewaumba kuwapa kila kitu, lakini aliwapa...
  13. JamiiForums Tanzania Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

    Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo. GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu. Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina...
  14. JamiiForums Tanzania Salamu za Rais Samia zafikishwa kwenye benchi la Ufundi ya Timu ya Yanga

    Naibu Waziri wa Utamaduni sana na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma usiku wa Mei 16, 2023 nchini Afrika Kusini, amepata nafasi ya kufikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Yanga kuelekea kwenye mchezo wao wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ifike hatua haya Mabango ya Rais Samia yaondolewe

    Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia. Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe. Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanavyonufaika na uwindaji wa kitalii

    Uwindaji wa Kitalii Wanufaisha Nchi, Billioni 9.6 zatolewa Kwa Halmashauri na Vijiji Pembezoni mwa Mapori ya Akiba na Mapori Tengefu - Kamishna Mabula Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mabula Misungwi Nyanda amesema shughuli za Uwindaji wa Kitalii...
  17. JamiiForums Tanzania John Pambalu: Nimekuandikia tena, Rais Samia unadanganywa

    Mhe. Rais tarehe 28.04.2023 nilikuandikia makala yangu niliyoipa jina la "Sikiliza mama", katika makala ile nilieleza namna ambavyo utawala wako umeshindwa kutatua kero na matatizo ya wananchi, nilidhani wasaidizi wako wangechukua yenye heri wakushauri walibaki kunishambulia tu. Mfano Dr...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Rais Samia kamgusa Mzee Jakaya Kikwete?

    Kurejeshwa Makalla ndani ya mfumo mwaka 2021 na kuwa RC Dar es Salaam tukubali ama tukatae ipo nguvu ya ushawishi wa JK ilitumika kumshawishi Rais Samia. Ieleweke, Makalla ni swahiba na mwandani lialia wa Jakaya Kikwete na duru zilitabanaisha baada ya JPM kumfuta kazi Makalla kipindi kile mwana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Mkuu Majaliwa bado anatosha kumsaidia Rais Samia?

    Tumeona hivi karibuni Wabunge wakilalamika maagizo ya Waziri Mkuu hayafuatwi. Lakini ni kweli amekuwa akiongea na bila kusimamia maagizo yake. Jana Wafanyabiashara Kariakoo wameonyesha dhahiri kwamba hakuna imani nae kwasababu hawezi kusimamia anachokiagiza na hata ungesikia kauli zake sio za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…