rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Brex2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuwepo madarakani hadi 2035?

    Hili swali kidogo linanitatiza. Je, Rais mama yetu Dkt. Samia atakuwepo hadi 2035? Nauliza hivyo maana utaratibu wetu wa kuongoza nchi ni 10 years. Sasa hapa Rais wetu atakuwa ameongoza kwa 14 years. Kwa kule USA Trump ameambiwa hatakama atashinda uchaguzi ila ata ongoza kwa muhula 1 ambao ni 4...
  2. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefungua uchumi wa nchi

    NAHESHIMU KAZI YANGU, NDIO INAYONIWEKA MJINI Na Comrade Ally Maftah Nimpongeze Dr Samia Suluhu Hasan, kwani upendo wake unatupa amani kubwa sisi wajasiliamali kuendelea na shughuli zetu, Dr Samia ametufungulia nchi, ametuondoa wasi wasi, ametupa uhuru wa kuwasiliana, mitandao na biashara, kazi...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
  5. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

    Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya. Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni. Tangu...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani

    Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya udanganyifu juma lililopita. Kijana...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asambaza upendo, amwaga ajira zaidi ya 10,200. Kada ya afya wanemeeka zaidi

    Rais Samia S Hassan ameendelwa kuonesha kwamba yeye ndio suluhi ya matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii Kwa kuendelea kuyatatua Kwa Kasi kubwa. Kwa Sasa Ma jobless wamefikiwa na Upendo wa mama na moyo wa mshumaa ambapo Serikali yake imetangaza ajiza takribani 10,209 Kwa kada mbalimbali huku...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwanini wengi wanaokutaka uendelee kuwa Rais wakiwa na hali fulani huoneshi kuwafurahia?

    Kwa wale Matomaso (Wabishi wa Kuelewa daima) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu/CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama (Rais) hasa katika Body Language yake kisha...
  9. dubu

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Raisi Samia kaingilia Uchaguzi wa Tanganyika Law Society, itakuwa ni hujuma na ukatili wa hali ya Juu

    Salaam Wakuu, Mwezi wa nane chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) wanafanya Uchaguzi wa kumchagua raisi wao na Viongozi wengine. Kitu ambacho kimewashangaza wengi, ni kukatwa kwa jina la Wakili Mwabukusi asigombee Urais wa TLS kwasababu eti anawavunjia heshima Viongozi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

    Kwanza nieleweke, hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda Korea wasanii 40 wa tasnia ya bongo movie kwa ajili ya kwenda kujifunza mambo ya tasnia ya uigizaji...
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pesa hatuna, tunanyanyasika kwa mikopo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr Samia Hassan amebainisha jambo hilo zito na pia kuelezea sababu za kumuondoa kigogo wa TRA Kigogo aliyeondolewa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata alikuwa anafanya kazi huku akipigiwa kelele nyingi hivyo...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Wizara ya Maji haina deni na Rais Samia

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ameweka bayana kuwa Wizara ya Maji haina deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa wa miradi ya Majisafi Nchini hususani Mkoa wa Dar es salaam. Mhe Aweso ameyasema hayo wakati akitoa mrejesho wa ziara yake ya siku tano...
  15. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Picha ya Rais vs Rais wa Picha

    Nimekaa nikatafakari nikajiuliza hivi aliyekamatwa na kuwekwa korokoroni kwa sababu ya kuchoma picha ya Rais ameonewa? Je, emetendewa haki? Kisha nikajiuliza je, Rais kwa kuchomwa picha yake ameonewa? Ametendewa haki? Kisha nikajiuliza je, kitendo cha kuchoma picha ya Rais ni sawa na kumchoma...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024 https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

    wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kongamano la wanawake wa Kiislam Zanzibar, leo Julai 5, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki kongamano la Wanawake wa Kislamu Zanzibar, leo tarehe 05 Julai, 2024. Rais Samia ndie Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

    Wanabodi, Utambulisho Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu tukajitambulisha tena humu who we real are, hivyo mimi mwana JF mwenzenu, Pascal Mayalla, (Pasco wa JF)...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hakuna anayeona udhaifu wa Rais Samia kwenye uongozi wake?

    Historia itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa. Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki? Hawa waliwapinga wakoloni bila kujali madhara yatakayowapata. Kwann hivi sasa maslahi binafsi yanapewa...
Back
Top Bottom