rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya treni: Dar Magufuli, Moro Kikwete, Dom Samia, Tabora Mwinyi, Shinyanga Karume na Mwanza Nyerere

    Mheshimiwa rais wa nchi amevipa majina vituo vya train ya sgr kama kichwa cha habari kinavyojieleza. --- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa majina ya vituo vya stesheni za treni ya umeme (SGR) kuanzia Dar es Salaam hadi Kigoma. Majina ya vituo hivyo ni ya marais wastaafu ambao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Mwinyi tunaomba mjenge barabara ya kuuunganisha Unguja na Bara

    Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara. Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi visiwani. Aidha ni ukweli usiopingika kwamba gharama ya vyakula ipo juu. Na pia itapunguza kero...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wamtaka Rais akifika Kilombero aitishe mkutano wamueleze malalamiko yao

    Wakulima wa Miwa wa Bonde la Kilombero wamemng'ata sikio Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa katika ziara yake Kilombero asikubali kuongea na viongozi wa Amcos kwani kwa sehemu kubwa wanatumiwa na Waziri Bashe kuficha aibu ya kutunga sheria ya kuua kilimo cha miwa na viwanda vya sukari...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kukamilisha miradi yote ya kimkakati, Rais Samia amethibitisha kwamba yeye ni kiongozi na uongozi hauna jinsia

    Maana kulizuka mambo ya ooh sijui ataweza mara mwanamke mara sijui nini na ujinga mwingine mwingi kama huo. Lakini Samia alilijua Hilo mapema na aliwahi kuongea hususani wakati anatoa mada kule Ghana kwamba atalazimika sio tuu kukamilisha iliyoanzihwa na kuonekana mikubwa sana lakini na...
  6. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo Agosti 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kutembelea Mkoa wa Morogoro atembelee wilaya ya Kiteto (Kibaya) na Simanjiro - Orkesmet

    Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu. Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami. Maswali ni mengi kuliko majibu.
  9. JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kuunda kamati ya kupitia kodi

    Pamoja na kuwa mimi sio mtaalam wa uchumi ila natamani pia waangalie yafuatayo; 1. Biashara moja/Bidhaa moja kuwa na kodi nyingi zenye majina tofauti tofauti, hii huchangia ukwepaji 2. Kuwa na taasisi nyingi zinazo fuatilia bidhaa moja mfano Petrol na kila taasisi inataka kodi kwa hiyo bidhaa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi Huu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi huu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunazaliana wengi mno, mahitaji makubwa mno ndio maana kila tukiajiri Watumishi hawatoshi

    DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozunguka Mikoani changamoto ya kwanza anayokutana nayo ni upungufu wa Watumishi wa Afya na Elimu lakini hali hiyo inasababishwa na Sekta hizo kuhudumia Watu wengi na zina mambo mengi. Akizungumza katika Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kilele cha kumbukizi ya 3 ya urithi wa Benjamin William Mkapa katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, Julai 31, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akishiri Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Benjamin William Mkapa katika Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, leo tarehe 31 Julai, 2024. https://youtu.be/StqQg5kUHDA Rais Samia amesema Hayati Mkapa anakumbukwa sana kama baba wa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi sasa Rais Samia kaamua kuwa bora zaidi. Je, atamuunga mkono Mpina?

    Ni dhahiri sasa mama kaamua kufanya na kudhihirisha ubora wake, japo kuwa baadhi ya watendaji wake hawaendi kama anavyotaka yeye, na wao bila ya mijeredi na kushurutishwa, hawafanyi kazi kabisaa zaidi ya mapambio tu Ukiachia mbali mapungufu machache kwake, Ndani ya sakafu ya moyo wa SSH, kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Moshi Wagoma

    Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki. EATV imeshuhudia uongozi wa Manispaa ya Moshi ukipachika kipeperushi kwenye kila duka kilichoandikwa, "PAMEFUNGWA NA...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mkuu wa Jeshi la Magereza

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

    Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na baada ya hapo ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa na kisha akaendelea kutaja wageni wengine...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama kuna siku Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka neno Ufisadi!

    Shalom wana Jamii Forum. Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI . Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tufanye Midahalo kuhusu itikadi za kisiasa nchini au mafanikio ya Rais Samia Awamu ya 6

    Mdahalo uwe live hapa hapa JF. Jukwaa la kisiasa la JF sasa liwe la midahalo ya kisiasa hapa nchini Tanzania. Mada mojawapo kati ya hizi mbili, au zingine vile mtakavyoona: 1 - Itikadi za kisiasa ubaya na uzuri wake. Sisi kama Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters...
  20. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wa madini mererani wachachamaa wapinga soko la madini kuamishwa kwenda Arusha tunasimama na kauli ya Rais Samia

    SAKATA la kutaka soko la Madini ya Tanzanite kufanyika sehemu zote nchini sasa limeingia katika sura mpya baada ya wachimbaji wa madini hayo kusema kuwa wanaongoza agenda hiyo hawana nia njema na Serikali na wachimbaji kwani wametanguliza maslahi yao binafsi. Wachimbaji hao walisema na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…