rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  2. M

    PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  3. PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  4. R

    PostGE2025 Rais Samia: Sifa yetu inaporomoka, wasiotutakia mema wanakerekwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani

    Rais Samia akihutubia Taifa leo desemba , 2025 katika Mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa ya Mwl. Julius Nyerere JNICC amesmea kuwa Sifa ya utamaduni wa amani ya Tanzania unaporomoka kadri siku zinavyozidi kusonga kufuatia baadhi ya watu kureketwa na...
  5. Rais Samia: Dar es Salaam tulionja joto ya jiwe

  6. PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wampongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa

    Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Mzee Matimbwa akizungumza katika...
  7. PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  8. PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  9. PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

    Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025. Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
  10. PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  11. Kesho Bila kukiri kuwa Watanzania wanachukizwa na ufisadi, upendeleo wa familia yake na Kitwete Rais Samia atuwa na wakati mgumu

    Nimepata taarifa mahala kuwa kesho atahutubia taifa akiwa anazungumza na wazee wa Dar es salaam. Kesho akiri hadharani kuwa ufisadi na upendeleo wa familia za makada wa CCM wanaojulikana ni tatizo kwa taifa letu. Hakuna mzizi wa tatizo utatatuliwa. Watu wana hasira sana. Wamejaa na hasira...
  12. PostGE2025 Rais Samia kwenye hotuba yako usije na watakayokumezesha wasaidizi wako, sisi wananchi tunataka kusikia HAKI

    Usije na ngonjera kua kuna kijana kalipwa Billions ambazo hamna uthibitisho wake , na hakuna kijana alie ingia barabarani kwa kulipwa. Vijana waliingia barabarani kwa saabu ya yafuatayo; 1. Watu kupotezwa sana, kuuawa na kutekwa kulizidi mtaani na hakuna majibu ya kueleweka 2. Baadhi ya wakuu...
  13. M

    PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  14. GE2025 Nawatafuta Rais Samia na Jakaya Kikwete niwashauri bure

    Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea. Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa wasingekinukisha kikanuka Oktoba 29, mie nilisema watakinukisha kama walivyokinukisha Tanzania, kisiwa cha...
  15. Kuuliza SI ujinga, mwanahenzi Suluhu Hassa ni mdogo wa Rais Samia Suluhu Hassani?au Samia aliolewa kutoka Kwa Mzee Awadhi?

    Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
  16. U

    Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  17. M

    PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  18. PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  19. PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za kishindo?

    Miaka yote tumezoea kuona Rais anayeshinda kiti cha urais akizunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura za ushindi. Safari hii, licha ya Rais Samia kushinda kwa kishindo (98%) na kujinyakulia karibu viti vyote vya ubunge, amekuwa mzito sana kuwazungukia wananchi na kuwashukuru kwa...
  20. Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi 1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani 2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha 3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…