rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, siyo kupanda kwa bei ya vyakula pekee, ambako kutawafanya Gen Z ya Tanzania waingie barabarani

    Nimemsikia Rais Samia Jana, wakati akihutubia wakazi wa Mtibwa -Morogoro, akiwa katika ziara Mkoani humo, akiwatahadharisha wateule wake, hususani walioko Kwenye wizara ya kilimo kuwa chakula ni jambo nyeti sana, ukitokea upungufu wa chakula nchini, unaweza walazomisha vijana wanaotambulika...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

    Ndugu zangu Watanzania, Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali tuna Mpango wa Kufungamanisha Reli ya SGR na Reli ya Tazara Ili kurahisisha Usafiri wa Watu na Usafirishaji Bidhaa

    Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha Usafirishaji nchini. Rais Samia amesema hayo akiwa Mikumi mkoani Morogoro katika muendelezo wa ziara...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aielekeza TANROADS Kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa

    RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, Watanzania tunakupenda sana na tuna imani na wewe. 2025 lazima Ushinde kwa Kishindo

    GTs, Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na hamasa ipo juu mno kuhusu kumpa kura za ndiyo 2025. Wanaosema eti siyo mkali hawana hoja kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kampeni ya kumaliza Migogoro ya Wakulima na Wafugaji Morogoro

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana na migogoro kati yao na wakulima na watumiaji wengine wa ardhi kila uchao...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TANROADS wapeni Wazawa kipaumbele wajenge Barabara na Madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara na madaraja ili kuwajengea uwezo na kufanya uchumi kuwa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anasepa na kijiji kwa Kijiji Morogoro

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua miradi ya kimkakati, kuhamasisha maendeleo na kitatua kero za wananchi. Wakati Rais akifanya ziara...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aibua shangwe na Nderemo kwa mashabiki wa Simba baada ya kupiga Simu moja kwa moja uwanja Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye amepiga simu kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi akigombea Urais 2025 anamshinda Rais Samia. Hata raia wa kawaida wanamkubali achana na Mawakili

    Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma. Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na wizi wa kura. Dp world ilishamchafua Rais Samia.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na watendaji wa kiwanda cha sukari Mtibwa baada ya kuzindua bwawa la umwagiliaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bei ya Sukari Ikiwa Juu Gen Z Wataingia Barabarani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari kwa bei nafuu na kulinda viwanda vya ndani kutokana na uwekezaji uliofanyika. Serikali inavyosimama...
  13. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, hoja na majibu utaweka mwenyewe. Hoja ya leo ni kuhusu usikivu wa Rais Samia, hakuna ubishi ni msikivu, vipi serikali yake, ni serikali sikivu? Bunge lake ni Bunge sikivu, na Mahakama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, nileteeni Watu wazuri ili nikishusha Mahela yatumike vizuri

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao. Aidha...
  15. JamiiForums Tanzania Kama walivyokamatwa waliotupa noti kwenye sherehe ya harusi Mwanza ndivyo waliobandika picha ya Samia kwenye bendera ya taifa wakamatwe

    Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kuwafuta kazi Nape na January Makamba, Rais Samia kajiongezea kura

    Ilisemwa mambo ya Samia hayataenda asipokuwa na hao wawili. Ajabu leo hii mambo ya Samia yapo muswano. Ilisemwa na kudaiwa jamaa hao wasioridhika na kukubaliana na hali halisi eti wangeuteteresha Utawala wa mama huyo endapo tu wangefutwa kazi jambo ambalo hadi wakati huu mwanamama huyo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi ipewe nafasi kwenye uendeshaji na uwekezaji katika miundombinu treni, ndege na mabasi ya mwendokasi

    Mheshimiwa rais, Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT. Lakini bado huduma katika maeneo yote hayo sio nzuri. SGR tumeanza jana tu lakini dadili sio nzuri,. Sustainability. Hakuna...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tazama katika picha watu walivyomiminika na kufurika kwa wingi katika Kumpokea Rais Samia Gairo Mkoani Morogoro

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunapowaambia ya kuwa Rais Samia anakubalika,kupendwa na kuungwa mkono ni haijapata Kutokea. Amekaa katika mioyo ya watu mpaka watu wanabubujikwa na machozi ya furaha wamuonapo. Watu wanakuwa na hamu na kiu kubwa sana ya kumsikiliza Mama ili wapate neno...
  19. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi: Bilioni 6.106 zimepelekwa Old Moshi Mashariki

    Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 6,106,516,794.00 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kata ya Old Moshi Mashariki katika Jimbo la Moshi vijijini. Hayo aliyasema Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaojitolea na kufanya kazi kwa mkataba wapewe kipaumbele kwenye ajira

    My Take: Naunga mkono hoja na jambo Hilo lisiishie kwenye kada ya Afya na Elimu tuu Bali lifike na kwenye kada zingine. Faida zake 1. Utapunguza uhaba wa Watumishi 2. Utapata Watumishi ambao tayari Wana uzoefu na kazi 3. Ni njia ya Mazoezi Kwa vitendo Kwa Watumishi Tarajali 4. Ni njia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…