rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania Wananiita Mama na hapa Kenya Odinga mnamwita baba, hivyo tunamuunga mkono kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Africa

    Rais Samia amesema Tanzania inamuunga mkono Raila Odinga kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU Rais Samia amesema Watanzania wanasema " baba anatosha" Soma Pia: Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga Source Citizen TV
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki uzinduzi kampeni za Odinga uenys

    Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa wakuu wa nchi watakaoshiriki uzinduzi wa kampeni za uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), unaowaniwa na Raila Odinga. Ushiriki wa Rais Samia katika kampeni hiyo ni baada ya kualikwa na Rais wa Kenya, William Ruto kwenda katika taifa hilo kwa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga

    Wakuu, hivi hii ziara ina manufaa gani kwetu kama nchi? Rais kabisa unakwenda kwenye ufunguzi wa kampeni? Tunajua uchaguzi wetu Mkuu ni mwakani tu hapo, ndio naye anatafuta uungwaji mkono kwenye kampeni yake? Mambo yatakuwa yanatokota huko. Wacha tuone itakuwaje. Lucas Mwashambwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

    Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana. Siasa zake za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Samia hajakosea kuniita Simba

    Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa Kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao. Amesema kwamba babu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

    Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia. Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea Mtarajiwa na Makamu Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na maendeleo. Mwaka 2015 hadi 2020 wakati wa Dr...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Rais Samia aheshimiwe, kumtusi ni kumkosea sana.

    Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza. Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia afafanua sababu ya kupendekeza 'Simba mwenye machachari' kuitwa Tundu Lissu

    "Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia Soma...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

    Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF! Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angevuna pesa nyingi sana toka kwa Rais Samia

    Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana. Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai Lisu. Lkn ukweli mchungu ni kwamba Tundu Lisu siyo mali binafsi ya Tundu Antipas Mungwai Lisu, kila...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Kizimkazi Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo...
  18. Lusungo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

    Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!! Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba. Simba ni...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka jiwe la Msingi Mradi wa Kasa Salaam-Cave Kizimkazi Dimbani leo Agosti 24, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi Mradi wa Kasa Salaam-Cave Kizimkazi Dimbani leo tarehe 24 Agosti, 2024.. https://www.youtube.com/live/OtMdbDIJ2F0?si=Ilo_PgA7c9cFz3ud Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Back
Top Bottom