rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viwango vya Rais Samia ni ishara ya ushindi wa kimbunga kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ! Chama cha mapinduzi ni miongoni mwa vyama vya siasa vilivyopata bahati kubwa sana ya kuwa na tunu ya watu wenye uwezo na weledi mkubwa sana linapokuja suala la uongozi na utawala. hii sio mara ya kwanza kwa jambo hili kuzungumzwa lakini...
  3. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aonyesha ufundi wake wa kupika madikodiko

    Kusanya vitabu vya Historia, tembelea hifadhi za kumbukumbu na rekodi za kimataifa, lakini hii haijapata kutokea Tanzania. Kwa mara ya kwanza, Rais wa Tanzania Samia Suluhu ataonesha Taifa ufundi wake wa kupika chakula kwa kutumia nishati safi siku ya tarehe 8 Septemba 2024, na kuruka live...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na Rais wa China, asisitiza Mpango wa Kuendeleza Miundombinu na Kukuza Uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 3, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Ukumbi wa The Great Hall of the People. Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia amesema uhusiano wa nchi hizo mbili ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Hayati Magufuli ni Marais wa mfano Afrika utekelezaji wa Miradi

    Salaam, Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika. Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Rais Samia anaingia jikoni kupika basi hapa kuna la kujifunza

    Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi. Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
  7. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia nakuomba tena utekeleze haya kuelekea 2025

    Your Excellency, Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Raisi, Ninaamini umzima wa afya na unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa kadri Mwenyezimungu alivyokujaalia. Mheshimiwa Raisi, hii itakuwa ni mara yangu ya pili kuzungumza na wewe kupitia maandiko haya ya...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania 4R za Rais Samia Suluhu Hassan: Mafanikio na changamoto zake

    Resilience Reconciliation Reform Rebuild Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. Tunaelekea kwenye...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kila jambo jema sifa zote anatwikwa Rais. Kwanini kwenye mambo hasi mzigo hapewi Rais?

    Hello! Sio kwa ubaya lakini, ni kwa wema tu. Mimi sio shabiki wa chama au mtu yeyote ingawa nina kadi mpya ya CCM kwenye kabati langu. Ni kawaida na imezoeleka sasa kila jambo zuri au linalokaribia uzuri viongozi wateule na ma influencer humwagia sifa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ombi kwako Rais, ombi la kuendelea na Waziri Mkuu Majaliwa 2025

    Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025. Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi. Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

    Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani. Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia kwenye Mkutano wa FOCAC nchini China

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi Wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuanza Septemba 4-6, 2024 nchini China. Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake

    Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake aidha "Ninachokiomba mama unirudidhie mume wangu mimi ni mama wa Watoto wawili, Watoto wangu bado wadogo, wanaitaji malezi ya baba yao pia namuhitaji mumeo wangu kwa sababu yeye ndiyo msaada wangu sina kimbilio sina msaada...
  14. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Je, haitoshi kusema Rais Samia ameshindwa kuwa bora sababu ya huduma mbovu ya umeme?

    Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani? Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Salama Salimini Beijing Nchini China

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China. Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024. Pia soma: Je, ni kwa jinsi...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania "Viongozi wa Juu wa CHADEMA Watoa Maoni Mseto Kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Hatua za Kuimarisha Demokrasia Nchini"

    Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alistahili kuwa Rais wa kipindi cha mpito

    Binafsi, naamini Rais Samia alipochukua madaraka, alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko ya mifumo ya kiutawala, yaani kutengeneza nchi ambayo watu wake wataongozwa kwa haki, kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, uhuru wa maoni, na kisha kujenga uchumi wenye misingi ya haki. Hii ndiyo...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

    Kupitia falsafa ya 4Rs, Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za...
Back
Top Bottom