rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

    Kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau. Tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila mafanikio. Ni majuzi tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuondoa katazo la maandamano lililokua limewekwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe amechoka Uwaziri na kuamua kumchafua Rais Samia kwa Watanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana, kusononeka sana,kushangazwa sana,kuumia sana ,kutoamini macho na masikio yangu kwa kile nilichokiona na kusikia maneno na kauli za waziri wa kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe. Maneno ya Mheshimiwa Waziri yakisema kuwa serikali haitapeleka huduma za...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameizawadia Serengeti Girls Milioni TSh 30 kwa Kutwaa Ubingwa wa Unaf

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Unaf huko Tunisia wiki iliyopita. Fedha hizo zimekabidhiwa Septemba 11, 2024 na Waziri wa Utamaduni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Watekaji wanamharibia Rais Samia pamoja na kazi hizo nzuri anazozifanya

    Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na ujasiri mkubwa katika kulinda maslahi ya taifa. Rais anaijenga Tanzania mpya ya watu...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania CCM ni zaidi ya chama, Hayati Magufuli na sasa Rais Samia tunawaonea tu

    Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure. Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo . Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Rais Samia asianzishe Wizara maalum ya Soka huku Sanaa na Utamaduni zikibaki Pekee?"Kwakuwa Serikali ya CCM imewekeza zaidi upande huo

    Na akimaliza Kuiunda hii Wizara Mawaziri wake Wakuu Hamisi Mwinjuma (kama Waziri) na Naibu Waziri awe Gerson Msigwa huku Katibu Mkuu wa hiyo Wizara akiwa ni Ali Mayai Tembele na Msemaji wa hiyo Wizara awe Amos Makalla?
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji. Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatakia kila la heri Darasa la Saba walioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi

    Nawatakia kila la kheri wanafunzi 1,230,780 wa Darasa la Saba mlioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi leo. Mnatoka hatua moja ya elimu na malezi kwenda nyingine katika safari yenu ya kujiandaa kutoa mchango wenu wa maendeleo kwa Taifa letu. Serikali imeandaa mazingira sahihi ili muweze...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hasssan, Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Kitaifa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapongeza Taifa Stars kwa ushindi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono walioupata katika mechi ya leo. Na huu ndio ujumbe wake Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kama upo serious kutaka kukomesha watekaji na wauaji, toa amri ya kukamatwa wote wenye mwelekeo wa kuwa na mwingiliano na watekaji

    KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka. Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika kamili na kujua nafasi zao kwenye huu ushetani, ungetoa maelekezo wafuatao wakamatwe mara moja: 1)...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwenye Wasifu wa Rais Samia sijawahi kukutana na taarifa za wazazi wake. Je, ni watu wa aina gani? Nao walijihusisha na Siasa?

    Wakuu salam, Nimekuwa tu interested na hili baada ya kufanya maongezi na jamaa yangu fulani ndio ikaclick kuwa hili ni kweli, kwenye wasifu na historia ya Rais Samia inaanza alizaliwa wapi, aliposoma na alikopita mpaka kufikia Rais lakini siyo nyuma ya hapo kama ilivyokuwa kwa viongozi wengine...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ana nia ya kukomesha mara moja watu kutekwa na kuuawa, atoe tamko hili

    Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu; "Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

    Wanabodi Naomba kuanza kwa angalizo kwa mode kuhusu kuchanganya lugha. Japo sasa jf ni mainstream media ukichanganya lugha kwenye heading mode ana edit, neno "Mama Don't Preach, practice what you preach " ukilibadili kwa Kiswahili linapoteza maana. Update: Mode tayari kafanya yake! Heading...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Ally Mohamed Kibao na maelekezo ya Rais ingawaje yamechelewa yasaidie kuokoa wote waliotekwa

    Hiki kifo cha Ally Kibao kimetokea ni kwa vile Rais hakupewa taarifa sahihi kuhusu utekaji na mauaji. Kwa hali tuliyofikia ya watu wanateka hadharani na kuua eti wakisema "tumekuja kuchukua mtu wetu" haikubaliki na hii inaashiria kuwa ndani ya CCM na Serikali iko shida kubwa. Kisa cha...
  20. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mfariji Mkuu

    Katika kipindi hiki ambapo vitendo vya utekaji, watu kupotea na kuuawa vimekuwa vikishamiri nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kama kiongozi mwenye jukumu kubwa la kufariji wananchi wake. Wakati ambapo jamii inakabiliwa na woga na hofu ya usalama wao, kuna haja ya kuwa na sauti...
Back
Top Bottom