rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka. https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana deni katika Huduma ya Maji Ubungo

    "RAIS SAMIA HANA DENI HUDUMA YA MAJI UBUNGO" - LUKUVI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ubungo ambapo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote. Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Rais Samia atambue Kibao alivyotekwa na kuuawa, inaonesha mauaji yamefikia levo nyingine Nchini

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unadhani vyombo vyako vinaaminika mbele ya wananchi kwenye kuchunguza sakata hili la mauaji na utekaji nchini?

    Mheshimwa Rais. Umesikika ukiagiza vyombo vyako kufanya uchunguzi wa masuala ya utekaji hata hivyo nasikitika kukwambia kuwa 1. Vyombo vyako haviaminiki tena Tangu jeshi la polisi na mamlaka mbalimbali za uchunguzi kukataa/kushindwa kuchunguza tukio la Lissu kupigwa risasi, kupotea kwa Ben Saa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia ya Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Yaanza Kutekelezwa - Lindi

    AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba...
  10. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa niaba ya wengi usiruhusu wachache waturudishe kule tulikotoka!

    Friends and Enemies, Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia, Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili hali wao wenyewe wanadai katiba mpya na demokrasia ili hali kwenye vyama vyao wameshindwa...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuwa anapotoshwa kuhusu CHADEMA kufanya vurugu

    Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
  12. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, jiepushe na kauli zinazokufungamanisha na uovu

    Kuita mauaji ni Jambo la kawaida ni kauli inayopaswa kutoka Kwa Mtu asiyejali, sadist anayefuraia kifo cha mwenzake. Nikushauri mamangu, wengine tulikuamini Sana na mpaka Leo huwa najiuliza Samia wa March 2021 alipotelea wapi? Kuna watu wanakushauri uongee maneno makali eti kuonyesha huo ndo...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nani Mhulukutabu kati ya Rais Samia na Raia anayedai haki ya usalama wake?

    Hotuba ya jana tarehe 17 Septemba 2024 imenipa simanzi sana. Lakini nimeokota neno moja linalotumiwa kule Kizimkazi. Neno hilo ni MHULUKUTABU na lilitolewa ufafanuzi kuwa ni mtu ambaye akiona kuna utulivu lazima aibue hekaheka. Rais aliwalenga wapinzani na wahanga wa utekaji na mauaji ya raia...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu. Hii leo Magazeti yamepambwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia huenda kuna watu wanatumbuliwa hivi karibuni; vita ya uchaguzi ni kubwa kuliko tunavyodhani

    Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono. Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa. Kuna wanadamu wamesambaza sumu au baadhi mchana wapo CCM usiku wanafadhili mipango ya uchaguzi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaashiria kuwa CHADEMA hawako salama ndani ya chama hicho wapo vijana wake wa "Kitengo"

    Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha upinzani (CHADEMA) anazo taarifa zote Rais amesema kuwa interenjesia ya vijana wake ina uwezo mkubwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, wananchi wanaimani kubwa na vyombo vya dola kama alivyo onyesha Rais?

    Rais ameonyesha imani kubwa kwa vyombo vya dola. Ameonyesha wanafanya kazi nzuri na kuwapa motisha wakujielimisha zaidi. Je, wananchi wanaimani na vyombo vya dola kama ilivyo kwake Rais? Soma Pia: Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tathmini hotuba ya Rais Samia miaka 60 ya Jeshi la Polisi: Uzuri, ubaya, utata na mapendekezo mahsusi

    https://youtu.be/BKZ7ifz7408 1. Utangulizi Akiwa katika Chuo cha Polisi Tanzania kilichooko mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, mnamo tarehe 17 Septemba 2024, Samia Suluhu Hassan, alivaa kofia zake zote kama Rais, Amiri Jeshi Mkuu, na Mkuu wa Nchi katika Jamhuri ya Muungano wa Kidemokrasia ya...
  19. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais anazunguka mbuyu, badala ya kushughulikia kiini Cha tatizo

    Rais kanikatisha tamaa Sana. Kwenye hotuba yake ya leo hajatoa suluhisho la kudumu kuhusu utekaji. Yeye kajikita kwenye kuwatisha mabalozi na chama Cha CHADEMA kwamba anawafuatilia kila kikao wanachofanya . Kwa kifupi Rais hajashughulika na kiini Cha tatizo Bali amejikita kwenye matokeo. Yani...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Inashangaza kifo cha Kibao kimeibua wimbi kubwa, hii sio sawa, kifo ni kifo

    "Siku kadhaa zilizopita ndugu zangu nchi yetu imepata msiba wa kuuawa kwa mmoja wa kiongozi wa CHADEMA, kifo kilichosisimua miili na akili za Watanzania na kuibua hisia kali hasa kwa wawakilishi wa baadhi ya mataifa ya nje wanaowakilisha nchi zao hapa kwetu. Nataka niungane nao na niseme kwamba...
Back
Top Bottom