rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

    Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia. Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi. Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kapiga double knockout kwa matukio ya jana (Mkutano Mkuu wa CCM)

    Mkutano mkuu umepiga shut kamati kuu ikakwepa goli hilo. Mama samia akachomoa makamu mpya shwa. Haya Chadema tunawasubiri
  3. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uwepo wa Ugonjwa Marburg Tanzania

    Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao. Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afrika Duniani Dkt Tedros .ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa ulivyopanga, kuratibu na kufanikisha kikamilifu kwenye mkutano mkuu CCM Dodoma, you are the smartest president in history of tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye You took them by surprise very much unprepared! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman. Samia judging...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kijani yatawala Magazeti Yooote. Rais Samia ateka mijadala yote Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote. Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima kwa ujumla wake ni juu ya uteuzi wa Rais Samia kuwa Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa tahadhari matumizi ya akili mnemba kipindi cha uchaguzi

    𝐃𝐊𝐓 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐓𝐎𝐀 𝐓𝐀𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐌𝐍𝐄𝐌𝐁A 𝐊𝐈𝐏𝐈𝐍𝐃𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wana CCM kuhusu matumizi ya akili Mnemba, akisema kuwa inaweza kutumika vyema au kutumika vibaya kueneza...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Samia ndo Rais 2025-2030. Nguvu zote zielekezwe kwenye Katiba Mpya iliyo bora

    Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo. Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya mwili aliyowapiga kule Dodoma wote mliokuwa mnapanga kumuangusha kupitia mchakato wa ndani ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Kuwahi Kutokea Kufanyika Nchini kote Kuunga Mkono Uteuzi wa Rais Samia Kugombea Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Hakukaliki wala wananchi hawataki kabisa kutulia .wananchi wamegoma kabisa kusubiri muda wa kuchukua Fomu ufike, wananchi wamegoma kabisa kujizuia furaha zao zilizo jaa katika vifua vyao, wananchi wameshindwa kabisa kuvumilia na kusalia majumbani mwao kuendelea na kazi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mitaani Hakukaliki . Wananchi walipuka kwa shangwe na Nderemo baada ya Kupitishwa kwa Rais Samia Kugombea Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu. Wananchi wamejaa raha ,furaha,tabasamu na matumaini makubwa sana...
  12. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Je wanaojikosha kwa Rais Samia wanafanya hivyo bila kutafakari kwa kina au ni msimamo wa CCM usio rasmi?

    Wanabodi, Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na kitendo hiki bali pia kumpa motisha aliyefanya tendo hilo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

    === Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025. Uteuzi na mabadiliko haya yataanza rasmi baada ya mwezi July Bunge litakapovunjwa hivyo Dkt Philip...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao

    Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa. Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike. Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde. Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna Mashaka Kuhusu Ukubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    “Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho Chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya wananchama” Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

    Wajumbe wa mkutano mkuu NEC === Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025. Rais Samia...
  18. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatuonyesha Hakuna Mbadala wa CCM Katika Siasa za Tanzania

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Kwa miaka mingi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
Back
Top Bottom