rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

    Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa. Kanali Mlunga alijipatia umaarufu enzi ya hayati Magufuli kea uchapaji wake kazi uliotukuka. Nilijua alishapanda cheo kumbe amebakia...
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitoa neno moja tu kuhusu wanaohujumu SGR, hakuna atakayethubutu kuharibu tena

    Tumeinvest hela nyingi sana kwenye SGR, jana nimeona kuna watu wamekamatwa wanaiba nyaya, wahujumu uchumi wa wazi, kwa namna tulivyoingia garama, nilitegemea SAMIA atoe tamko moja tu la uhakika ili watanzania wote wasikie na walinde reli hii. Lakini kwa sababu ya mazoea Watanzania...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

    Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati. Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Utata wa teuzi za Rais Samia

    Hivi karibuni Rais amemteua Engineer Peter Rudorf Ulanga kuwa mtendaji mkuu wa shirika la ndege ATCL ; akichukua nafasi ya mteule wa Magufuli engineer Ladislaus Matindi. Ikumbukwe tu kwamba Muda si mrefu uliopita engineer Ulanga alitumbuliwa kama mtendaji mkuu wa TTCL Je, Rais anapowatumbua...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

    Wakuu, Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya. ===== Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akizungumza Na wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu ya Dar es Salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia Ateua Viongozi Wapya ATCL na Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko muhimu katika uongozi wa taasisi mbili nchini kwa kuteua viongozi wapya. Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa tarehe 11 Novemba 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, inaeleza uteuzi huo uliaanza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Furaha baada ya kumuona Rais Samia kwa Macho Yangu

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwandishi wa Habari Mufindi: Rais Samia anafanya kazi nzuri, vijana dumisheni amani Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwanadishi wa Habari unakuwa chawa, wananchi wanatapa watahabarishwa na kupaziwa sauti inapohitajika? ==== Ikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hamasa kwa Vjana imezidi kushamiri kushiriki uchaguzi huo huku wakiaswa kuwa mstari wa mbele tarehe 27/11/2024...
  10. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Dk. Samia, Gekul Cup yahitimishwa Babati Mjini, washindi wajinyakulia Tsh. Milioni 1

    Wakuu, Ila siasa bwana, mnahenyesha watu wee kwa Milioni 1? Ila sisi wananchi tumekuwa cheap sana, na hatujui thamani yetu kabisa. Ni mwendo wa kutumiwa tu kila inapokaribia uchaguzi, na sisi bila hiyana kama nyumbu tunatimiza azma zao! ===== Mashindano ya Dk. Samia and Gekul yamehitimishwa...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Wazalendo Tanzania: Sisi ni waumini wa Demokrasia, tutachukua hatua kumlinda Rais

    Wakuu, Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ==== Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

    Bila shaka ni wazima wa afya njema?! Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania? Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni. Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji
  16. Bezecky

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe kati ya Mbowe, Lissu au Rais Samia?

    Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe? Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano? Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano? Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake? Comments ziwe fupi fupi sana.
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aadhimia kuunganisha Kiswahili na lugha ya Kihispaniola akiwa nchini Cuba

    Akiwa nchini Cuba Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira yake ya kuunganisha lugha ya Kiswahili na lugha ya Kihispaniola ambayo ni lugha ya pili kwa kuzungumzwa na watu wengi duniani baada ya lugha ya kiingereza Lengo likiwa ni kuwaleta watu wengi pamoja, kuimarisha ushirikiano wa...
  18. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole ya kifo Lawrence Nyasebwa Mafuru

    Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aahirisha ziara yake ya Cuba

    TAARIFA KWA UMMA KUAHIRISHWA KWA ZIARA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOKUWA IFANYIKE NCHINI CUBA Havana, 07 Novemba, 2024 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuutaarifu umma kwamba ziara ya kitaifa ya Mhe. Dkt...
Back
Top Bottom