rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Mji Kibaha sasa imepanda hadhi na kuwa Manispaa

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji Kibaha iliyopo Mkoani Pwani kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa. Uamuzi huo umetangazwa leo Januari 27 na Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajasiriamali zaidi ya 200 mkoa wa Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi kutoka kwa Rais Samia

    Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi. Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT Iringa walivyowaimbisha 'Mitano tena' wanafunzi wakisherekea birthday ya Rais Samia

    Ndio hivyo..!😎 Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rukwa wafanya Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais Samia. Ikiwakutanisha timu ya Suluhu Academy na Dew Drop

    Leo umechezwa mchezo wa Fainali wa Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia katika dimba la Nelson Mandela Wilayani Sumbawanga ukizikutanisha timu ya Suluhu Academy kutoka Kizimkazi Zanzibar na Dew Drop kutoka Sumbawanga. Soma Pia: Wanafunzi wa Rukwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary School washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Tunalazimisha iwe sherehe ya taifa?

    Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga! Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa? ===================== Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

    Wakuu, Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku ya wanafunzi? ==== Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Janeth Mayanja leo Januari 27, 2025...
  8. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kukanyaga katiba ya CCM, kwa kupitishwa kuwa mgombea sasa wabunge wa CCM wanajipanga kupitishwa bila kupiga kura

    Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm alitakiwa kuchukua fomu ya kugombea kisha vikao vimjadili na kupitisha jina lake, mtindio huu pia...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka yanatumika magari kutangaza birthday ya Rais Samia lakini bado kiki imebuma. Safari hii watanzania wamenuna kwelikweli!

    Wakuu, CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers: Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!

    Wakuu, Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache? ===== Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

    Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
  13. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia atakuwa Rais mwenye umri mkubwa zaidi kuchaguliwa katika historia ya Tanzania endapo atashinda Uchaguzi Mkuu

    Kesho ni Januray 27. Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65. Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Endapo atashinda uchaguzi huo, kwa umri wa miaka 65...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mnaotetea Chalamila ripoti za CAG huwa hamzioni? Rais Samia usipomtumbua umebariki unyama huo kuendelea

    Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa! Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna hatua inayochokuliwa? Kwani hamjui kama hizo ni kodi zetu na ndio wanasababisha huduma kuzorota? Pia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikoa ambayo Rais Samia na Lissu watachukua kura nyingi za Urais

    Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua matokeo yatakavyokuwa kimkoa, nina amini kutokana na siasa za kukubalika kwa CCM na Chadema kwa mikoa...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Machinga kusherekea siku ya kuzaliwa Rais Samia kwa kutoa punguzo la 30% kwa bidhaa zote

    Wakuu, Kunaanza kunoga huko😂😂😂. ===== Wamachinga wa Soko la Wazi la Machinga Complex, jijini Dodoma, wameandaa sherehe ya kipekee kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, itakayofanyika Januari 27, 2025. Katika kusherehekea...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Nini kinajenga mashaka kwa Rais Samia?

    Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana. Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu...
  18. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa. ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee. sasa onyo langu na la wengi katika ulimwengu wa kiroho wa Mungu, wewe na wenzako, msithubutu kufanya...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Iringa yatoa onyo kwa wanaobeza Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Naona mambo yanazidi kunoga tu! =============== Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
Back
Top Bottom