rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

    Wakuu, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Morogoro wabubujikwa machozi ya furaha Rais Samia kutunikiwa Udaktari wa Heshima! Ukiwahesabu hao watu ni 2 tu!

    Wakuu, Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Mnatumia nguvu kubwa kufanya mama akubalike lakini wapi, angalau basi mkiwapa watu script wawe hata na tu lugha twa...
  3. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Shemsa ampongeza Rais Samia kwa kusongesha maendeleo ya taifa mbele

    Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi mwenye Maono, akili kubwa, upeo, maarifa na kipaji cha uongozi. Imeonyesha namna Rais wetu...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 DC Mtwara: Wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kutoa shukrani kwa Rais Samia

    Wakuu, Ila CCM hakuna kama nyinyi duniani🤣🤣😂: DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote wote, kwakuwa ni wengi sana basi wamewakilishwa na wenzao wachache kwenye hilo Samia Uni Bonanza huko...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Juliana Masaburi: Yaliyofanywa na Rais Samia Yanatosha Kuendelea Kuiamini CCM

    JULIANA MASABURI: YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA YANATOSHA KUENDELEA KUIAMINI CCM Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana Didas Masaburi akihutubia mkutano wa hadhara amewaambia wananchi kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa hivyo kukifanya...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  8. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

    Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asafiri kwa Treni Dar es salaam Hadi Morogoro

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa katika mradi wetu wa kimkakati wa SGR ambao amekuwa akipigana na kuupigania ukamilike na kumalizika...
  10. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Nchi imekosa viongozi wabunifu mpaka Rais anaingizwa kwenye makosa madogo madogo akiona!

    Niaje waungwana Yani nchi hii imekosa kabisa viongozi wabunifu ambao wanaweza kukaa chini na kubuni kitu au jambo la maana, na lenye tija kwa faida ya taifa. Unakuta nchi ina Rais, Makamu, waziri mkuu, mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, manaibu makatibu wakuu, wakuu wa mikoa nk, lakini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijafanya malipo kwa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo masikini, tumeshindwa tu kutumia rasilimali vizuri

    Wakuu, “Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"

    Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano wa viongozi wa kidini wa Kenya waliochukua hatua kama hiyo kwa maslahi ya maadili na uwazi. PIA...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania. Rais Samia Ni kiongozi ambaye anapozungumza juu ya Maisha ya watanzania...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya kurudi CCM? Godbless Lema aomba kuonana na Rais Samia. Mrisho Gambo

    Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi. Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

    Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma? Taarifa ya Ikulu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
Back
Top Bottom