Wanabodi,
Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!
Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi.
Huyu ni Mheshimiwa...
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.
Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).
Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.
Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani?
Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid and mascular sana, nao si watuletee mwana mama? ili tukamilishe utatu?
mzee wa trend reading...
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa...
Wanabodi,
Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa, ni eneo la "news analysis" uchambuzi wa habari.
Kazi kuu za traditional media ni kuhabarisha...
Nimesoma nakala moja inasema "Rais Samia amekosea tena..." Amekosea kwasababu ya kusema kuwa mwaka 2025 atachukua mwanamke tena. Na nikasoma pia watu waki comment kuwa yeye ana inferiority complex, yaani, ana ile hali ya kujiona yuko chini kwakuwa yeye ni mwanamke. Mimi sikubaliani na hayo...
Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao.
Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa ndani ya Katiba ya nchi, hauendeshwi kwa kutumia jinsia, kigezo hicho hakuna, Suruali au dela la mtu...
"NAMUUNGA MKONO MAMA 2025"
"Ni kweli kabisa 2025 ni mwaka wa kumuweka Rais Mwanamke Ikulu, ni wakati sasa wa Wanawake wote kuungana na kutumia fursa hii kufanikisha hili na kuendelea kuandika historia Tanzania, naamini Wanaume pia watatuunga mkono maana nia ya Mama kulitumikia Taifa letu wote...
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.
Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.
Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya...
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo ukikosea katika utaratibu huo basi haki yako inageuka kuwa kaa la moto hata kama ni jambo la faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.