raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbeya: Raia 37 wa Ethiopia washikiliwa kwa kuingia nchini bila kibali

    Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Januari 16, 2026 saa 10 jioni katika Kijiji cha Kasumulu...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  3. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuatia Polisi kuwapiga Raia huko Nandi Hill, Mamalaka Huru ya Kusimamia Polisi yaanza Uchunguzi

    Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) imeanza uchunguzi baada ya video ya CCTV ya dakika nane, inayoonyesha polisi wakiwashambulia vijana katika ukumbi wa pool table wa Nandi Hills, kusambaa mitandaoni na kuzua hasira ya umma. Video hiyo, inayoonekana kurekodiwa saa 5:50 usiku wa tarehe 10...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mbele ya Mabalozi imeonyesha alikusudia kabisa kilichotokea Oktoba 29

    Nimeshangaa sana mimi kama Mwalimu. Rais Samia pia alikiri changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa utulivu siku ya uchaguzi na muda mfupi baada yake, akisema: “Licha ya mafanikio haya makubwa, kwa masikitiko tunatambua changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  8. JamiiForums Tanzania Russia waililia na kuipigia magoti Marekani kuwatetea raia wake waliotekwa pamoja na meli

    Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa ikitokea Venezuela. Hivi Russia ndio watu wa kulia lia hivi mitandaoni!? Putin ampe nchi Medvedev...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwamba mnaomba marais wote wanaoua raia wasio na makosa wachukuliwe kama Maduro?

    Hii ni hatari sana. Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro? ... ...
  10. JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

    Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro. Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani. Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Yani kwa sasa POLISI ni kama wapo juu ya sheria na mamlaka zote wananyanyasa na kudhalilisha sana raia huku mitaani

    Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani. Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya kushughulika nalo maana sasa hawa wamesha kuwa ni watesi wa raia kabisa, wababe hata katika mambo ya kawaida...
  13. JamiiForums Tanzania Nafukua: Watu waliouwawa October 29 sio wape waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa

    Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano. Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Trump kamuonya Ayatola ataingia kuwanusuru raia kama ataendelea kuwaua

    Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa. Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali itaendelea kuwauwa waandamanaji. Ujumbe huu umfikie bi chura. Siku zake zinahesabika. Chawa na wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  16. JamiiForums Tanzania Maagizo ya Waziri Mkuu kutaka UKOO MZIMA kukamatwa kwa makosa ya ndugu yao si sahihi kisheria!

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo. Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaotetea huu utawala hauyumkiniki ni miongoni mwa waliobeba silaha na kuua raia Okt 29+

    Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania. Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja za chuki dhidi ya wakosoaji na watoa maoni mbadala kwa Viongozi (waliohaini Oktoba 29) Wanajua...
  18. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Viongozi wanapoamuru jeshi kuua raia ni tangazo la vita? Nini hatima yake?

    Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia. Kitendo cha kutoa...
  19. JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  20. JamiiForums Tanzania NIDA Mbeya kwanini vitambulisho vinafutika kabla ya kuwafikia raia? Hamuoni kama mnachezea kodi zetu makusudi?

    Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika jambo moja mara kwa mara wakati pesa inayopotea ingeweza kufanikisha utekelezaji wa masuala ya msingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…