rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kiasi gani Rais kujinyonga au kujiua?

    Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
  3. JamiiForums Tanzania Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  4. JamiiForums Tanzania Usipende kukubari kila kitu kirahisi rahisi tu jifunze na kukaza usilegeze kila kitu kaza

    Nakumbuka nikiwa nasoma Sheria katika Chuo X kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi kutuambia Darasani katika somo la Constitutional Law akatudokeza kwamba ukiwa Mwanasheria usipende kukubari kila kitu vitu vingine unatakiwa ukaze usilegeze, ukiambiwa hii rangi ni ya MaChungwa wewe sema hii ni rangi...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyogundua Njia Rahisi ya Kuongeza Followers na Traffic kwenye mitandao ya kijamii

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana β€” na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua. Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu β€”...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakazi Rahisi na nyepesi sana

    Mfano yule shahidi wa kesi ya Lisu, yani kazi yake kuperuzi tu mtandaoni ( doria), So mtu anatoka Youtube anahama Tiktok anahamia Facebook n.k, jioni anarudi home, mwisho wa mwezi bank inasoma πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi sana kwa Israeli kuwauwa viongozi wowote hadi wale waandamazi wa Iran?

    Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
  9. JamiiForums Tanzania Kenya:Hivi polisi wanafikiria kuomba msamaha ni jambo rahisi wakishatenda

    Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini. Hivi unawezaje kujibu majibu rahisi kama hayo. Sasa Kenya baada ya kuona mada imekuwa ngumu polisi anaomba msamahaa yani kesi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Lugha rahisi na mifano msaada wa kujua tofauti ya active, portifolio na Passive incomes.

    Karibuni wataalam wa uchumi na masuala ya kifedha. Natanguliza shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Chama cha darasa la 7 sio rahisi wajibu hoja ?

    Mmejionea wenyewe kiranja wao alichoongea Leo . Tatizo ni Elimu , chama cha darasa la Saba.
  15. JamiiForums Tanzania Majambazi na wezi si rahisi kujitawala ila vyombo vya dora vinaweza kujitawala na kujikataa kuwa sio wahusika

    Hakuna mtu mjinga hata kompyuta iwezi kudanganywa kuwa ijahusika wakati ndio inatenda. Hapa tanzania kama unafanya ujambazi au wizi uwezi kufanya kama yanayo fanywa mfano uwezi kusimamisha basi ukachukua mtu tena sio porini ni jiji kubwa alafu gari mnazotumia ndio hizo hizo mnazotamba nazo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa sehemu ya jopo la uongozi wa IDU, hakuharakishi viongozi Madikiteta Africa kufikishwa ICC?

    Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua, Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
  17. JamiiForums Tanzania KIPAZA SAUTI BORA NA RAHISI KUBEBEKA

    Unatafuta kipaza sauti bora kwaβœ… mahojiano, vlog, podcast, au βœ… matangazo ya moja kwa moja?βœ… Lavalier Microphone Recorder ni suluhisho lako kamili!πŸ’― Ubora wa sauti wa hali ya juu Rahisi kubeba na kutumia Inaendana na simu, kamera, na kompyuta Inazuia kelele za mazingira (noise reduction)...
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya Smartphone na Featurephone ile ni rahisi kuhack zaidi. Huu ndo ukweli kitaalamu

    Kati ya feature phone na smartphone, smartphone ndiyo rahisi zaidi kuhackiwa, na hii ni kwa sababu zifuatazo: 1. Muunganiko na intaneti Smartphone inaunganishwa mara kwa mara na intaneti (Wi-Fi, data), na hivyo kuifanya iwe rahisi kushambuliwa kwa njia ya mtandao. Feature phone nyingi hazina...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  20. JamiiForums Tanzania Utoto ulikufanya uone kila kitu kinawezekana ulipokua umegundua sio rahisi?

    Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui nyama kila siku? Nilikuwa nawalaumu baadhi ya NDUGU kwanini hawarutembelei? Nilikuwa nawaonea wivu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…