raha

Air Chief Marshal Arup Raha, PVSM, AVSM, VM, ADC (Bengali: অরূপ রাহা) was the 24th Chief of the Air Staff of the Indian Air Force and served from 31 December 2013 to 31 December 2016. He was also the Chairman of the Chiefs of Staff Committee, a post occupied by India's senior-most military officer, who advises the government and ensures jointsmanship in the armed forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Siri ya Kufaulu Elimu: Kumaliza Darasa kwa Raha au Shinikizo la Kufaulu tu?

    Katika safari ya elimu, tunakutana na maswali mazito: Je, tunasoma kwa ajili ya kujifunza na kufurahia mchakato wa maarifa, au ni shinikizo la kufaulu tu ndilo linatufanya tukaze akili? Wazazi, walimu, na jamii kwa ujumla, mara nyingi wanaonekana kupima thamani ya mwanafunzi kwa matokeo ya...
  2. Nikinywa Pombe nasikia Raha

    Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁
  3. Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
  4. Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  5. Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

    Uzi tayari
  6. Wokovu Raha Sana!

    Tangu niokoke moyo wangu umejaa amani ambayo hapo awali sikuwa nayo. Wala sina tena wasiwasi kuhusu ya masuala yajayo. Naona kabisa nimejaa matumaini mapya. Hisia zinazotokana na nguvu za giza naona zimenikimbia kabisa. Niko na matumaini mazuri hizi sasa. Asante Yesu.
  7. A

    CRDB bank ikoje asee(maoni yenu jamani Sina Raha hapa)

    Habari wakuu, mi Ni mfanya biashara mdogo Ila nmefanikiwa kupata mtaji , Sasa nimeanza ku-import bidhaa kutoka ulaya. Leo nlikuwa natuma pesa kwenda Barcelona-spain kwa njia ya T/T(telegraphic transfer). Nikajaza fomu na nikaambiwa lazima niwe na supporting document,hvyo ikanibidi kuambatanisha...
  8. G

    Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  9. Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

    Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo? Au katengwa Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo Mpaka alikuwa...
  10. LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  11. Hakika: Tafuta raha, shida zinakuja zenyewe

    Kuishi kwingi ni kuona mengi Watoto na vijana wanaambiwa, nyinyi mna mbio, lakini sisi wazee twazijua njia Ni hivi mjukuu wangu, upatapo chochote kitu, mega sehemu ndogo jipe raha, kama wewe ni mzee wa pombe, jimiminie balimi zako baridi kabisa upate na mdudu laaana kidogo ukapumzike na mpenzi...
  12. Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

    Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD). Karibuni
  13. Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

    Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama. Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi. Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto...
  14. Jipe raha mwenyewe usipojopa raha maumivu n sehemu ya maisha yako

    Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa na maumivu ni furaha kwao Mateso yetu kwaoo n sikukuuu Kuanguka kwetu n shangwe usiku mzima kwenye...
  15. Z

    Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  16. Raha ya mwanamke kuendesha/kupanda farasi

    Kama kawa, kama dawa.... Asili kuacha ni kimbembee.... https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi.... Utaona tuu, hatuliii Atatikisika tuu kama si mabega basi matiti ama tumbo ama bambataa aahahahahhaa...
  17. Mapenzi ya zamani yalikuwa raha sana, natamani yajirudie.

    Mapenzi ya sasa hivi yamejaa utapeli mwingi, huna kitu hupendwi mtu. Ukimtongoza tu mrembo, atakuuliza unafanya kazi gani, au unamiliki nini? Kama bado unajitafuta, utakutana na fedheha. Ila enzi za mababu zetu, ilikuwa full burudani; mnakutana mkiwa hamna kitu, baadaye mnachuma pamoja na...
  18. Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  19. Raha ya mchepuko úwe pisikali au úwe na Pesa hata Mkeo atakuelewa

    Kwema Wakuu! Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo. Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na Saba, kifua thelasini na tatu. Mtoto laini kama nyama ya ulimi. Dadeki! Yàani ukimtazama hivi...
  20. Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…